Lake Malawi row blamed on Joyce Banda

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,252
6,208
Lake Malawi row blamed on Joyce Banda
Victoria Milanzi

George-Chaponda.jpg

George Chaponda: JB made mistakes.

The Malawi government says it will resolve the lake wrangle with Tanzania but has blamed the Joyce Banda administration for failing to resolve the matter quickly.

Minister of foreign affairs and international cooperation George Chaponda said the lake wrangle could have been resolved long time ago but the previous administration did not use the right procedures in allowing a forum led by former Mozambican President Joaquim Chissano to mediate on the issue.

“We will resolve the Lake Malawi wrangle soon and the heads of state who are handling the matter will meet in May,” said Chaponda.

He added that he went to Mozambique where he met Joaquim Chissano and they will resolve the matter in May.

Chaponda assured Malawians that the lake belongs to Malawi no matter what.

Said Chaponda: “If the matter favors Tanzania we have no choice but to go to the International Court of Justice because the lake belongs to Malawi.”

The dispute between Malawi and Tanzania started way back at independence and the issue resurfaced when it was discovered that the lake has oil under it.

Tanzania has been claiming part of Lake Malawi is theirs while Malawi says the whole Lake Malawi belongs to her.
 
Njia nzuri ni kwenda kwenye njia hiyo ya usuluhishi na sio kujaribu kutumia mabavu kama JB alivyotaka kufanya. Hawana uwezo wa kuimudu Tanzania hao majamaa wa pande ya pili
 
Sasa huko msumbiji ndio kuna suluhosho,? Haka kanchi bwana saa nyingine kanafurahisha kweli, juzi tu tumewapa chakula walipokumbwa na mafuriko..
BTW, kama ziwa ni lao litakuwa lao tu, but if it isn't then wasahau hata wakienda kushtaki kwa shetani, anaewadanganya hawa madogo atawaponza..
 
Njia nzuri ni kwenda kwenye njia hiyo ya usuluhishi na sio kujaribu kutumia mabavu kama JB alivyotaka kufanya. Hawana uwezo wa kuimudu Tanzania hao majamaa wa pande ya pili
Jidanganye tu... Tutapigwa kama watoto wadogo.. Hivi nikumbushe Tz tunaweza nini labda?? Kila kitu tukienda kushindana tunashindwa
 
Duu kumbe ame blame adminstration ya Joyce kushindwa ku solve tatizo quickly ,halafu mwishoni anasema no matter what ..........haya niwatakie kila la kheri tu na wakishindwa kesi huko ICJ sijui watafanyaje
 
Jidanganye tu... Tutapigwa kama watoto wadogo.. Hivi nikumbushe Tz tunaweza nini labda?? Kila kitu tukienda kushindana tunashindwa

Kwa hii comments yako nilikuwa na uchovu umepungua ghafla kwa kicheko.......hahahah
 
Jidanganye tu... Tutapigwa kama watoto wadogo.. Hivi nikumbushe Tz tunaweza nini labda?? Kila kitu tukienda kushindana tunashindwa
kumbe ndo mnavyojikatisha tamaa hiv aloo kushindwa lazima na tutawapiga kisawawa sisi tunamuogopa samata tu yeye peke yake tz hana uoga..
 
Kwa hii comments yako nilikuwa na uchovu umepungua ghafla kwa kicheko.......hahahah
Watanzania tunapenda kujipa moyo kwa vitu tusivyokuwa na uwezo navyo... Sikumbuki nchi hii tumeshindana nini tukashinda kwa miaka ya hivi karibuni.. Siasa kila mahali, kuanzia vyombo ya usalama mpaka kwenye michezo
 
kumbe ndo mnavyojikatisha tamaa hiv aloo kushindwa lazima na tutawapiga kisawawa sisi tunamuogopa samata tu yeye peke yake tz hana uoga..
Wanajeshi wenyewe hawa wanaokula banana mitaani?? Juzi mwanajeshi kapata kaajari kidogo cha bodaboda, dereva hajatoka hata na jeraha ila mwanajeshi kafa... Endeleeni kujidanganya tu
 
Pole yako @ Fisadi Mku.du, so ww unalinganisha kushindwa ktk sports na War strategies siyo..? Hakika ww unastahili kuombewa si buree..!
 
Wanajeshi wenyewe hawa wanaokula banana mitaani?? Juzi mwanajeshi kapata kaajari kidogo cha bodaboda, dereva hajatoka hata na jeraha ila mwanajeshi kafa... Endeleeni kujidanganya tu

wewe ni fara mwingine tu.
 
Pole yako @ Fisadi Mku.du, so ww unalinganisha kushindwa ktk sports na War strategies siyo..? Hakika ww unastahili kuombewa si buree..!
Watanzania hakuna tunachoweza... Si kwa kizazi hiki cha kipuuzi..
 
Wanajeshi wenyewe hawa wanaokula banana mitaani?? Juzi mwanajeshi kapata kaajari kidogo cha bodaboda, dereva hajatoka hata na jeraha ila mwanajeshi kafa... Endeleeni kujidanganya tu
hahahahah wabongo tuna kashfa sana hahahahahhh
 
Back
Top Bottom