Mtu haitaji kuwa mpishi kujua kuwa hiki chakula kimekosa chumvu au haikajaiva vizuri.
Hauhitaji kuwa producer kujua hii beat imefanana na ile au huu mziki una kasoro flani...
Wasikilizaji ndiyo walaji wa mwisho wa bidhaa ya mziki na ndiyo wanaosema huu mziki uko hivi maana wasanii wanaimba kwa ajili ya watu wa kawaida ambao wengi wao siyo waimbaji mziki haimbwi kusikilizwa na wanamziki