Maana unakuta wasanii wengi kama kina Aslay na African Princess Nandy n.k nyimbo ziko vizuri upande wa uimbaji lakini usikivu wa vyombo wenye nguvu kimataifa bado sana.
sample :Sikiliza vionjo vyenye nguvu upande wa bass na drums
Katika Youtube kuna vitu vimepotea ktk usikivu wa bass na drums sijui nini sababu inabidi studio, producer, sound engineers na wasanii wa-maintain usikuvu wa level ya kimataifa ambapo nguvu ya instruments ni muhimu sana hata kama wasikilizaji hawaelewi Kiswahili lakini wata enjoy-usikivu niliouelezea ktk post hapo juu namba 37
Source: Harmonize
Nimependa usikivu wa bass ulivyo na ndicho nilichosema producers, sound engineers na wasanii wa Tanzania inabidii wafanyie kazi eneo hilo na kuhakikisha platform kama ya Youtube usikivu uwe level ya kimataifa bila kujali lugha au mistari.