Laiti ningelujua!!!

kweli hii,inaitwa macho yalinidanganya mbele sikuona/....
 
Hapo anajiuliza 'hivi huyu ndiye yule aliyesema ni nambari wani wa wanyonge'????Hayaamini macho yake.
 

Attachments

  • images-72.png
    3.4 KB · Views: 39
Picha hii ina tafsiri nyingi; huenda anajisemea angejua angempigia kura ila asijali maana pamoja na kutompigia kura lakini alishinda na kuwa Raisi.
 
Ningemchagua mamvii Hahahahha hapo hajui hata afanyaje mana mambo yamebadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…