majaliwa_richard
New Member
- Sep 23, 2025
- 1
- 1
Jamni naombeni anayejua utaratibu wa namna ya kupata hii laini ya kununua bando za data kwa bei nafuu inayoruhusu kushare bando kwa watu wengine
Ipo mkuu, ni line maalum inaitwa Corporate kama sijakosea ila kwa sasa hazitolewi tena labda anunue kwa mtu.Hiyo menyu haipo utakuja ibiwa mkuu
Mm nna laini ya halotel bando tu, naweze kuweka menye apa, hio yako haipo saiv.Ipo mkuu, ni line maalum inaitwa Corporate kama sijakosea ila kwa sasa hazitolewi tena labda anunue kwa mtu.
Kwasasa kuna line inaitwa Bussiness hiyo ukisajili ili uwe na uwezo wa kuanza kushare utapaswa uitumie kwa miezi mitatu kwanza ndo utapewa menu ya kushare. Ila ndani ya miezi hiyo mitatu utaweza kununua bundle za kutumia we mwenyewe na ni nafuu mno.