Nenda Tra kaombe TIN number hii ni bure wala haina makadirio ya kodi kwa mwaka Ila usiwaambie lengo la hiyo TIN ni kwenda kufungulia leseni ya biashara then chukua TIN mpange na jamaa akupe tax clearance ila utamlinda japo maji ya kunywa ya elfu 5 nenda ofisi husika Kwa eneo ulilopo kasajili leseni ya biashara hii utalipia around elfu 60 na hapa utaenda na kitambulisho na ni zoezi la masaa machache unamaliza unapata lessen na TIN yako
Then nenda kwa wakala mkuu ktk eneo ulilopo atakupa maelezo zaidi Ila kwa halotel na Airtel laini utazipata ndani ya siku 3 au pungufu tigo utasubiri wiki zaidi ya 3-4 ila ni uhakika na zinasoma majina yako hata itokee imepotea au kufungiwa uhakika wa kupata hela yako ni mkubwa upande wa voda ndo kuna usumbufu mkubwa