Laini ya M-Pesa inauzwa

Laini ya M-Pesa inauzwa

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
474
Reaction score
188
Nipo Dar ni pm kama unahitaji nikuelekeze namna ya kuipata.

Bei laki nne.

Maelewano yapo.

Asante!
 
laki mbili nilitee hata dakika hii.

Mkuu Mamndenyi habari za siku? Umepotea sana. Please naomba unisaidie kujua jambo mmoja. Inakuwaje watu wanauziana kadi za uwakala wakati jambo hilo mtu angeweza kwenda kwa kampuni na kuomba huo uwakala? Huwa kuna nini hapo? Mie sifahamu hivyo mkinisaidia kuelewa nitafurahi maana sipati picha kabisa kwa nini iwe kama biashara ya magendo?
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi sielewi tofauti ya kununua kwa mtu na kununua kwenye ofisi za simu.nikielweshwa ilo nahitaji hiyo nitahitaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom