Laini halali ya tigopesa na mpesa ni sh ngapi

Mkuu hiyo elfu10 ya mwanasheria mbona sijawahi isikia au ni utaratibu mpya huo, mimi nna till 6 lakini zote nilipeleka copy za tin, leseni, kitambulisho, barua ya serikali za mitaa na passportsize tu
ni utaratibu mpya
 
ukipeleka copy zilizokuwa certified hakuna haja ya kupeleka hiyo 10K
 
Namaanisha tafuta ya kununua either mtaani au kwa wale maofisa wanahusika na tigopesa huwa wanafanya magumashi wanachukua till za wateja ambazo zimekaa muda wenye nazo hawajaja kuzichukua wanauza
za kununua zina changamoto sana laini ikiibiwa au kupotea, atapata tabu sana, labda anunue kwa mtu anaemfahamu ambazo ni zake, pia namshauri kama hana documents aazime za ndugu au rafiki atumue hizo apate till
 
Mzee kama mtaji wako mdogo achana na mambo ya kutafuta Tin number ili upate Till bure au inayosoma jina lako utakuja kujuta mbele. Take it from me, fanya mchakato ununue tu if possible
Nipe prons and cons mkuu aisee ni kweli mtaji wangu mdogo ila nahitaji kuwa na changu binafsi nifungue macho mkuu
 
Mkuu kama hutojali tumia majina ya ndugu yako yoyote yule ambae hana ramani sana mjini. Ila kama unaamini mtaji wako uko pouw sajili ya jina lako
 
fafanua kwa faida ya wengi
 
Tin number ni bure,nenda tra uwe na barua ya serikali ya mtaa na copy ya kitambulisho chochote cha taifa

Tin number sio bure,mueleze ukweli kua akifika pale na akaeleza TIN namba anataka ya nn ni lazima alipie kodi ya hicho anachoenda kukifanya ndio atapewa Tin.
 
Mkuu mm nilichukua bure acha ubishi
 
Ukipewa tin number ujiandae kulipa kodi kama ulikuwa mpiga dili ndo mwisho huo.
 
ni bure, ila uwe na documents zifuatazo
1. TIN NUMBER
2. BUSINESS LICENCE
3. KITAMBULISHO
hivyo vyote unapeleka certified copies au unaenda na 10,000 ya mwanasheria

ILA UKITAKA LAINI ZA KUNUNUA NI KATI YA 100-150K
Gharama ya business licence kwa ishu ya uwakala inaweza kuwa kiasi gani? Leseni hiyo hiyo inatumika kufatilia laini kwa mitandao yote au kila laini unatakiwa ulipie tena upya?
 
Inategemeana lakin mara nyingi n 80,000 kwa mwaka hii unaipata ofisi za halmashauri lakini kule tra lazima upate tax clearence baada ya kukadiliwa kodi.
Ili upate clearence form lazima ulipie robo ya kodi uliyokadiliwa ambapo kwa e money services hapa nilitwanga 100,000 kwa mwaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran mkuu
Hivi mfano kwa muamala wa kutoa sh 10000 ambayo mteja anakatwa sh
1400, wakala anapata kiasi gani ktk hiyo 1400 kama commission?
 
Mkuu si kubwa sana na inafuatana na mtandao husika.kikubwa inatakiwa uwe sehemu ambayo wateja ni wengi ndio utaona commision zinakuwa nyingi.mfano airtel kuweka 10000 wanatoa tsh 200 na hapo mwisho wa mwezi wanakata 10% witholding tax.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu si kubwa sana na inafuatana na mtandao husika.kikubwa inatakiwa uwe sehemu ambayo wateja ni wengi ndio utaona commision zinakuwa nyingi.mfano airtel kuweka 10000 wanatoa tsh 200 na hapo mwisho wa mwezi wanakata 10% witholding tax.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee! Lakini kwa tigopesa na mpesa commission inazidi sh 200 kwa muamala wa 10,000? Kwa muamala wa kutoa sio kuweka
 
Back
Top Bottom