Tin number ni bure,nenda tra uwe na barua ya serikali ya mtaa na copy ya kitambulisho chochote cha taifaDah mkuu nashukuru tin namba ni sh ngapi na utaratibu ukoje
Kitambulisho chochote maana yake unamaanisha hadi cha kura na TaifaTin number ni bure,nenda tra uwe na barua ya serikali ya mtaa na copy ya kitambulisho chochote cha taifa
Nation id,nazani hapo umenipata vizuriKitambulisho chochote maana yake unamaanisha hadi cha kura na Taifa
Mkuu hiyo elfu10 ya mwanasheria mbona sijawahi isikia au ni utaratibu mpya huo, mimi nna till 6 lakini zote nilipeleka copy za tin, leseni, kitambulisho, barua ya serikali za mitaa na passportsize tuni bure, ila uwe na documents zifuatazo
1. TIN NUMBER
2. BUSINESS LICENCE
3. KITAMBULISHO
hivyo vyote unapeleka certified copies au unaenda na 10,000 ya mwanasheria
ILA UKITAKA LAINI ZA KUNUNUA NI KATI YA 100-150K
Nimeona neno kitambulisho chochote ndo maana nikauliza... Hapo nimekupataNation id,nazani hapo umenipata vizuri
Pamoja sana mkuuNimeona neno kitambulisho chochote ndo maana nikauliza... Hapo nimekupata
Mzee kama mtaji wako mdogo achana na mambo ya kutafuta Tin number ili upate Till bure au inayosoma jina lako utakuja kujuta mbele. Take it from me, fanya mchakato ununue tu if possibleNaomba kujua line ya tigopesa na mpesa ni sh ngapi na je ya kunua kwa MTU ni sh ngapi na mpya ni sh ngapi
Ipo hiyo hata mimi walinidaiMkuu hiyo elfu10 ya mwanasheria mbona sijawahi isikia au ni utaratibu mpya huo, mimi nna till 6 lakini zote nilipeleka copy za tin, leseni, kitambulisho, barua ya serikali za mitaa na passportsize tu
Mkuu unamaanisha afuate utaratibu asinunue mtaani au vipi, sijakuelewa mkuu fafanua kwa Faida ya wengineMzee kama mtaji wako mdogo achana na mambo ya kutafuta Tin number ili upate Till bure au inayosoma jina lako utakuja kujuta mbele. Take it from me, fanya mchakato ununue tu if possible
Namaanisha tafuta ya kununua either mtaani au kwa wale maofisa wanahusika na tigopesa huwa wanafanya magumashi wanachukua till za wateja ambazo zimekaa muda wenye nazo hawajaja kuzichukua wanauzaMkuu unamaanisha afuate utaratibu asinunue mtaani au vipi, sijakuelewa mkuu fafanua kwa Faida ya wengine
Iko hivi ukienda kuomba Tin TRA utapewa bure ndio lakini shida inakuja ukienda Municipal council kufuatilia Leseni lazima uwe na Tax clearence kwa hiyo utarudi tena TRA ili upewe Tax clearence sasa shida ndio inaanzia hapo lakini shortly wewe ndio utakuwa umejiregister kama Taxpayer na utafanyiwa makadirio ya ulipe sh ngapi kwa mwaka sasa utaamua mwenyewe hiyo hela ya kodi uilipe mara moja kwa mwaka au kila baada ya miezi6 au kila baada ya miezi3 ila lazima ulipe kodi ukiskip hata mara moja fine ni 150,000 so ni bora ukanunua tu kuliko kuingia kwenye mfumo wa TRA alafu badae ukaanza kupata shida ya kugawana kamtaji kako na serikaliMkuu unamaanisha afuate utaratibu asinunue mtaani au vipi, sijakuelewa mkuu fafanua kwa Faida ya wengine
Shukrani ndugu nimekuelewaIko hivi ukienda kuomba Tin TRA utapewa bure ndio lakini shida inakuja ukienda Municipal council kufuatilia Leseni lazima uwe na Tax clearence kwa hiyo utarudi tena TRA ili upewe Tax clearence sasa shida ndio inaanzia hapo lakini shortly wewe ndio utakuwa umejiregister kama Taxpayer na utafanyiwa makadirio ya ulipe sh ngapi kwa mwaka sasa utaamua mwenyewe hiyo hela ya kodi uilipe mara moja kwa mwaka au kila baada ya miezi6 au kila baada ya miezi3 ila lazima ulipe kodi ukiskip hata mara moja fine ni 150,000 so ni bora ukanunua tu kuliko kuingia kwenye mfumo wa TRA alafu badae ukaanza kupata shida ya kugawana kamtaji kako na serikali
Kuna uwezekano wa kutengenezewa till zaidi ya 1 ya mtandao mmoja(let's say Mpesa) kwa document moja (Tin no, leseni ya biashara, kitambulisho)Mkuu hiyo elfu10 ya mwanasheria mbona sijawahi isikia au ni utaratibu mpya huo, mimi nna till 6 lakini zote nilipeleka copy za tin, leseni, kitambulisho, barua ya serikali za mitaa na passportsize tu
Kwa Tigo na Airtel hata ukitaka Till 100 kwa document zlezle hawana shida ila tatizo ni hao watu wa M-pesa, document zingne hawana shida nazo ila leseni lazima ibadilikeKuna uwezekano wa kutengenezewa till zaidi ya 1 ya mtandao mmoja(let's say Mpesa) kwa document moja (Tin no, leseni ya biashara, kitambulisho)
All the best mdauShukrani ndugu nimekuelewa
TIN NUMBER ni bure ila utapewa makadirio arround 150k ya kulipa mwaka mzima TraDah mkuu nashukuru tin namba ni sh ngapi na utaratibu ukoje