Mungu Akubariki kwa Maneno yako ya Busara uliyomwambia GENTAMYCINE
Na kweli dongo lake ' Jamaa ' limeniingia kisawasawa hadi Mwanamume nimeamua ' niunyuti ' tu Kisela.
hahah we jamaa unanifurahishaga sana.Na kweli dongo lake ' Jamaa ' limeniingia kisawasawa hadi Mwanamume nimeamua ' niunyuti ' tu Kisela.
No research no right to say.Airtel hawana line za chuo.
ww usiwe mwongo kama huju kaa kimya line zipi.na zinaanza na 089***** mim ninayo 500::GB1.2 na dakik 120 na unlimited sms wikiAirtel hawana line za chuo.
hahah we jamaa unanifurahishaga sana.
watoto hme wamekula GENTAMYCINEMbona zimetapakaa sana na zinapatikana kiurahisi mno sehemu mbalimbali Mkuu?
hongera sana ila najua umekosea sana ku m quote ovyo mdau pale juu..Hadi ' wamesaza ' Mkuu.
hongera sana ila najua umekosea sana ku m quote ovyo mdau pale juu..
Nimefurahi kusikia hivi na endelea kufurahi nami 24/7 humu.
Fanya kazi wacha kushinda JF .24/7 unakula upepo?
haaa po mkuu jf idumu milele wenye vyeti naona wamejaa ubungo kurudi kwao bush...Mimi ukijaa tu mwenyewe katika ' frame ' lazima nikunyooshe Mkuu japo na Mimi pia huwa napenda sana kunyooshwa na ' Wababe / Wajanja ' wenzangu humu.
Huo Ndiyo uanaume sasaNa kweli dongo lake ' Jamaa ' limeniingia kisawasawa hadi Mwanamume nimeamua ' niunyuti ' tu Kisela.
Wanazo bwana me hapa natumia line ya Chuo offa zipo kama dakika 15 kupiga mitando yote kwa jero tuBali kwa laini ya kawaida ileile, unajiunga vifurushi mbalimbali ama kwa vocha za Uni, vocha za kawaida au kwa Airtel money.
I was just adding the details Mzee.
Povu povu povu baba kidume umevurugwa sio kwa povu hili hahaha watu na Maisha yao bana hongera boss ila mambo mengine kausha tu jamaa alikuwa anakutania bana don't mind vitu vidogo he/she didnt mean to kukupovusha ivi naona na ww umetafuta mnyonge wako hahahaSijazaliwa katika Familia ya shida na dhiki kama Wewe na nashukuru Mungu kuwa Wazazi wangu walijipanga na kunitengenezea maisha yangu na sasa naishi vizuri hivyo usione nipo humu JF 24/7 ukadhani tunafanana Pumbavu mkubwa Wewe. Walaumu Wazazi wako kwa kushindwa Kwao kujipanga na sasa Wewe Mtoto wao unahangaika tu kuitafuta Shilingi huku ukiwachukia kwa Wivu wako wa ' Kingumbaru ' Watu wanaoshinda humu JF kila uchao utadhani Wewe ndiyo unawanunulia Bundle zao au uliwasajili humu.
Huwa sipendi kuwa na dharau hivi ila ukijipendekeza huwa ' sikubakishi '. Dhiki zako ulizonazo hadi katika ' Kope ' zako za macho usidhani na wenzako pia wanazo hivyo pambana sana kujitafutia maisha yako na usitake kujilinganisha na GENTAMYCINE kwani hutoniweza na barabara yangu ya Kimafanikio ilijengengwa vizuri na itakwisha pale tu Pumzi yangu ya mwisho itakapoisha hapa duniani.
hahah we jamaa unanifurahishaga sana.
Voda mwanachuo napata wapi kakaKwa anaehtaji lain za chuo au lain ya airtel Tanzania anichek via 0173099309/0783995659.thanks
Weka bei kabisa mkuu ili mtu anapokutafuta mnafanya biashara sio kuanza kuulizana habari za beiKwa anaehtaji lain za chuo au lain ya airtel Tanzania anichek via 0173099309/0783995659.thanks
Wanazo bwana me hapa natumia line ya Chuo offa zipo kama dakika 15 kupiga mitando yote kwa jero tu
MB 500 kwa wiki kwa Mia 5 tu
Zipo kemkem nyie muungishen mleta mada hamtajutia
Sijakusoma mkuuMmmh labda.
Au nawewe ndio walewale as I am ?