Lady jaydee vs wema sepetu

Status
Not open for further replies.

wajojo

Senior Member
Apr 29, 2013
155
83
Nataka kujua tu kati ya hawa bongo celebs ni nani maarufu kushinda mwenzie?,na ni nani mwenye mafanikio kuliko mwenzie..
 
Ooh! Acha kufananisha kifo na usingizi, huwezi kumfananisha jee dee na huyo limbukeni.
 
Nataka kujua tu kati ya hawa bongo celebs ni nani maarufu kushinda mwenzie?,na ni nani mwenye mafanikio kuliko mwenzie..

Ama kweli ukistaajab ya musa utayaona ya firauni,yaan kweli unamfananisha mtu aliyepata mafanikio kwa juhud zake na umahiri wa kaz zake,na mtu aliyepata umaarufu kwa kwa skendo za kupigwa mpini?Wote ni maarufu ndio na inawezekana wema yupo midomon mwa watu zaid lakin JD anaheshimika tofauti na huyo malaya.

Ni sawa na kuwacompare BEYONCE Vs KIM KARDASHIAN
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom