huyu dada akitoaga nyimbo huwa naanzaga kuupigia kura hata kama sijausikia,hajawahi kuharibu,hajawahi kabisa,ila kuna wimbo mmoja hivi unahusu kuwaelimisha vijana juu ya HIV siupatagi hadi leo anasema NACHOTAKA MWAMBIE UKWELI WALA USIMFICHE KWA MANUFAA YAKE UTAOKOA MAISHA YAKE,wakuu mwenye nao anitupie nimeutafuta hadi nimepauka