Lady jaydee kufunga mwaka na "FOREVER"

Lady jaydee kufunga mwaka na "FOREVER"

Dah!! Kweli jide safari hii umetuweza aiseeh na hii single yako mpya ya forever, wambea tumewazaa eeh na kuwazua ila hatujapata jibu kamili, ivi forever utakuwa umemwimbia nani? Gadner? Sidhan maana si nasikia hampo vizuri sasa ivi, maana umo full kumwagia sifa mpenzi wako mara u wanna be with him forever mara my sunshine,my baby apo umewaacha njia panda akina maimuna kibajaji( Dinazarde) na abdalah msogoti( warumi), maana hatuelewi kabisa. Eh sisi tulijua wimbo wako mpya utakuwa ni full vijembe na madongo kumbe imekuwa tofauti, umetuwezaaa!!

ila umependeza sana sasa ivi cheusi dawa, umekuwa portable, soft na umependeza sana kuliko hata ulivyokuwa na huyo kipereto wako. Tunasubiria ngoma mpya ya FOREVER ft dabo, ni shidaaaah!!!!

Tutasikia mengi
 
Last edited by a moderator:
Huyu dada siku hizi nyimbo zake ni mchemsho kabisa. Hii FOREVER wala hainogi. Angepiga full swahili angalau, maana duh. Ila ujumbe umefika.
 
Back
Top Bottom