Kupitia ukurasa wake facebook Jaydee amesema " Nakanusha tena na tena, hii habari ni ya uongo na sijui walio
andika wana nia gani. Hiki kitu hakiwezi kuja kutokea. ..naweza kupiga magoti mbele za Mungu na mama yangu mzazi tu.""
Kama sio kweli leo , lakini kitakuja kutokea tu lazima Jide atasalimu amri tu
Hapa mjini ukiwa jeuri utakula jeuri yako.
Kwan huyu ruge ni nan hasa?? Rugeeee Rugeeee ptuuuu!!
kwani hizo nyimbo zikipigwa clouds atafaidika na nini?