Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,712
Hahaha huyo ni muwakilishi Wake Lemutuz Kwenye Fiesta V.I.P aliwafanyi usaili wengi huyo ndio kafanikiwa!
Hahahaaa..hongera zao.
Hahaha huyo ni muwakilishi Wake Lemutuz Kwenye Fiesta V.I.P aliwafanyi usaili wengi huyo ndio kafanikiwa!
Mkuu naomba uandike tena vizuri hii comment yako!
Samahani lakini!
Nikajua ni mimi peke yangu ndio sijaelewa
na wewe umezidi umbea hadi hayo unayajuwa.