Mh wenye mahaba yetu Sawa basi. Ila hapo hakuna mziki wala rhythm. Naona umri umemganda bibi huyu. Kosa kubwa kimaisha alilofanya kumdharau mtu pekee wa kumkojoza. Hajarudi kabisa kwenye hadhi yake.
Hakika wimbo mpya wa Lady Jay Dee unaoitwa nani anaweza kusimama ni wimbo mzuri mno kuanzia ujumbe mpaka rhythm yaani kiukweli,komando bado anadhihirisha ni moto wakuotea mbali