REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,611
- 9,814
Miye na swali kwa uyu mdada mwenye kipindi katika siku ya juma mosi katika tv ya clouds
Swali langu naitaji aje atuambie anapoandaa kipindi huwa analenga tabaka lipi katika jamii watizame kipindi chake maana miye nimeshindwa ng'amua Kutokana na lugha anayoitumia kuwakilisha ujumbe wake kwani haieleweki anatumia lugha ipi
Kwani amekuwa akichanganya ndimi na kuhamisha ndimi mwanzo mpaka mwisho wa kipindi code switching na code mixing kibao yani swahili English yani mpaka unajiuliza hivi uyu anataka hiki kipindi kiangaliwe na nani mtu mwenye kujua hizo code mixing na switching au mtanzania wa kawaida anayejua kiswahili tu simuelewi
My take
Amua kama unatumia kiswahili basi ongea kiswahili tu kama kingereza ongea kingereza tu pia utambue uko katika jamii zetu wanaotazama hivi local channel zetu asilimia kubwa ni waswahili wanaongea kiswahili si wajuaji wa kingereza au swahili English hivyo basi ukiendelea na hizo code switching na code mixing zako tambua watu wanabadili chanel maana hawakuelewi mzungu au mtz