figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,556
- 62,117
Kweli kabisa miss...yaani mwanaume maskini akikutongoza ukamkatalia ni shida unaonekana unamnyanyapaa. Kama unapendwa utapendwa tu hata kama unakaa kwa mshikaji wako aliyepanga chumba kimoja uswahiliniMuhudumu ongeza mbili ingine hapa, kama haukupangiwa awe wako haukupangiwa tu.
Wewe kweli Mungu kuna vitu kakupangia...ni mpango Wa Mungu kwako ila kama unaenda katika njia yakeUkiona hivo jua Mungu hakupanga muishi wote period
Trust me huo ndo ukweli na kama Mungu angepanga wawe wote hao lazima wangeona.......unajua sisi binadamu tunasema tu ila Mungu ndie anaepangaWewe kweli Mungu kuna vitu kakupangia...ni mpango Wa Mungu kwako ila kama unaenda katika njia yake
Sasa kwanza umekiuka amri ya upendo Wa kweli kwa kudhulumu moyo Wa mwenzio...hapo kuna mpango Wa Mungu kweli???
germve himself
Saka pesa kijana one day yes.Haya mambo hayaaah! Wacha nizitafute tu mbumba kwanza, nilishanyanyapaliwa na mtu niliewahi kumpenda, niliempa thamani na kumjali kuliko nilivyojijali mimi mwisho wa siku nikaja kuambiwa "Unajua nini................ mimi sina future na wewe wala sikupendi tena, Tuachane tu." Nilinyong'onyea sana ila nina imani iko siku tutakutana.
Sent using Jamii Forums mobile app
can u elaborate your story mkuu?Io ya patience pays nadhani wadada wangeiangalia kwa umakini na kuacha kufeel entitled na vitu (ego), inahusu sana na inalipa sana, me n mwananume ii kitu imenikuta kwa my ex.. Kila mtu anasikitika kivyake tu saiv, hatuezi hata kuliongelea ili suala japokua kua ukweli anaujua kuwa alizingua.