'Ladies stop being stingy to your boyfriend learn to also spend money on him'' - Nigerian Lady

tatizo lenu hamjatulia ! unadhani ni shida kumnunulia mtu wako boxer au soksi za mchina? kwani shiling ngapi? au kumpa mashuka mazuri na mito mizuri .tunaweza kuwanunulia tatizo ndo hivo hamjatulia tu kaka zenu watu wanaona bora wawachune tu.mkufu bandia ukitoa hela bandia kuna shida?
 
Kuna wengine tumetulia lakini mnatuchuna kama kawa.

Na vimisemo vyenu vya hovyo ooh yule nishamtuliza katulia hakohoi wala nini nikipumua tu hela hiyo.

Mara hana pa kwenda kashikika vilivyo nikisema nataka hiki naletewa siku hiyo hiyo.

Mara ujifunge kanga yenye maandishi kuwa mwanaume asiye na mchepuko ni sawa na IPhone 7 bila power bank.

Hivyo vimaneno vyenu nyie dadaz vinakera sana mpaka mtu anaamua kuchepuka ili kukuonesha kuwa wewe si kitu.
 
sijawai kuona mimi
 
Hakuna universal formula ya financial relationship.Each couple has its own unique financial scheme they agree upon. Mfano mimi napenda sana design na viatu vya kiume. Haipiti miezi miwili bila kumnunulia boyfriend wangu viatu hasa kama ni pure leather.Ninapenda sana naye anafurahia mno kiasi kwamba hajuagi kununua viatu vyake! Naye kuna vitu anapendaga sana kuninunulia - necklaces, ear rings etc etc.
 
Aisee Hongera sana
347ca6b41085656f5fde6f636200e925.jpg
 
tatizo lenu hamjatulia ! unadhani ni shida kumnunulia mtu wako boxer au soksi za mchina? kwani shiling ngapi? au kumpa mashuka mazuri na mito mizuri .tunaweza kuwanunulia tatizo ndo hivo hamjatulia tu kaka zenu watu wanaona bora wawachune tu.mkufu bandia ukitoa hela bandia kuna shida?
Mimi nimetulia miss
 
Hakuna universal formula ya financial relationship.Each couple has its own unique financial scheme they agree upon. Mfano mimi napenda sana design na viatu vya kiume. Haipiti miezi miwili bila kumnunulia boyfriend wangu viatu hasa kama ni pure leather.Ninapenda sana naye anafurahia mno kiasi kwamba hajuagi kununua viatu vyake! Naye kuna vitu anapendaga sana kuninunulia - necklaces, ear rings etc etc.

Nasikitika sana bado anakuchezea tu, ningekua mimi ningeisha kuoa, usingeniita boyfriend apo.
 
Back
Top Bottom