LADIES MUWE NA AKILI kama na ujanja nyoka

LADIES MUWE NA AKILI kama na ujanja nyoka

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,161

Wkenya wanawaambia ladies yafuatayo......

"MADAME PLIZ UKIONA BOY/MAN AKO,,


1.anajifanya anakupenda sana na ku flirt na madem mbele yako killa saa,,na akiona haga lazma apinduke hadi anajikwaa,,pliz unangoja nn??tembeza visigino mammy

2.Boy alikuaga anakukoll after every 1hr bt sku izi lazma upige ww mwenyewe,,mammy unataka nn tena si uanze kutembeza ----/kalio mbele??

3.Boy na amekuoa na zake ni kukujanga hme asubui ati ametoka rave na alkua peke yake,,pliz anza kutayarisha vidole gumba ziende mbele!!

4:hatakangi uguse simu yake no matter what,,ata akienda bafu anaibeba,,jiulize swali moja tu,,'kwani simu zmeanza kuoga sku hizi??

5.Boy alikuaga anakupeleka out frequently bt sku hizi anasemaga hana pesa,,jiulize mamy,,kwani sku hizi amepata mwizi kwa wallet??ama anapata salary ikipeperukaga ka Tunyoni??kunae husherekea io wallet ok??

6:Boy hakukissingi hw he used to ama ata lungula unaona haiko ka kitambo,,kamum,,lazima nkuchoree na diagram ati kisogo inafaa kutembezwa??kuna mtu humtingishia na kkuinyonya hadi inamwaga bone marrow,,so hakufeel!!

7:Boy mumeishi nae miaka saba sasa na nyi wote mko financially stable bt ukimtajia stry ya kuoana anavaa sura ya watu wa mjengo,,woiye,,mammy,,si utingishe mgongo mbele pliz??ama unangoja kuona kama atakua malaika??ka hajakua hii miaka yote sioni dalili plz.

Yani kuna madame wanaonaga kapsaar relationship imekua Fogothary na bado unajifinyilia hapo tu.be free Mammy wachana na ufala,,epuka mashida.After all wanaume sio 12 ka Wafuasi wa Yesu"

Nadhani ako na akili ameelewa
 
unaambiwa kwani ako 12 kama wafuasi wa yesu? tembeza gwara
 
Ukionanga manzi anakuchunanga tuu evryday alaf hakupi mzigo... Man unangojaga nini zipo nyingi na hazinanga VAT tembesa kisigino yako mbele!!!!
 
Back
Top Bottom