Ladies.....lol

Rebeca, kusema kweli mimi sijaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app

Potezea mkuu,nimeandika thread wakati wa kulala,lol..hata sijui nilikua niseme nini kuhusu senior bachelor ama single fazas...thread liko liko tu,halinogi hata kwa Nazi..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hayo ndo yalikuwa maisha yangu miaka mitatu iliyopita
nilikuwa na kila kitu nyumba nzur/gari expensive/biashara nzur sikuona umuhim wa ndoa so nikawa nagonga ukileta story za ndoa nakutosa
ila sasa nimekua na nimeoa na kutulia kdg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…