Ni kweli atakua kasha kua frustrated na kunguru za kike haziaminiki, ....ukiwa victim you will regret through out your life "never ever trust a woman in your life"He is in his 35-50 yrs....
ana mtoto mmoja,....angekua na wengi kwa mama mmoja...ni sign anapenda watoto….
watoto wakiwa kwa mababy mama tofauti hapo majanga...
ukiona ana umri huo na ana mtoto mmoja tu ujue ni selfish anayeona Maisha yake kayamaliza,hana haja ya kuaoa na kuanzisha familia...iliyobaki ni kuwatumia tu wanawake…………………………
Mavazi yake,utagundua anavaa kama mtu aliyepitwa na umri vile..lol...namaanisha mavazi sio appropriate kwa age yake...utam spot tu..lol
He enjoys chasing,and as soon ukionyesha unataka commitment anakutafutia sababu akuache….
Nyingine jazieni tupeane ufahamu..lols
Yani mwaka mpya we ushaanza kuwaza wanaumeHe is in his 35-50 yrs....
ana mtoto mmoja,....angekua na wengi kwa mama mmoja...ni sign anapenda watoto….
watoto wakiwa kwa mababy mama tofauti hapo majanga...
ukiona ana umri huo na ana mtoto mmoja tu ujue ni selfish anayeona Maisha yake kayamaliza,hana haja ya kuaoa na kuanzisha familia...iliyobaki ni kuwatumia tu wanawake…………………………
Mavazi yake,utagundua anavaa kama mtu aliyepitwa na umri vile..lol...namaanisha mavazi sio appropriate kwa age yake...utam spot tu..lol
He enjoys chasing,and as soon ukionyesha unataka commitment anakutafutia sababu akuache….
Nyingine jazieni tupeane ufahamu..lols
He is in his 35-50 yrs....

Chupa mpya, mvinyo ............Mwaka mpya, mambo yale yale.
Mbongo anamka anawaza tu mapenzi mwaka mpya Mambo mapya single mother mungu anawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza mwaka huuu nawahidi sintafanya sex Kabisa na nishaapa nathiri yangu radio safinaHappy new year mkuu...mapenzi ndio yaliyotuzaa..usisahau hilo..lol
Kwanza mwaka huuu nawahidi sintafanya sex Kabisa na nishaapa nathiri yangu radio safina
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaahhh naogopa kuja niache mbegu yangu botswanaaaa pia Mambo ya single mother wakati baba Yuko hai hatareeeee sanaaaaMkuu why sad???yapi yamekukuta?
Daaaahhh naogopa kuja niache mbegu yangu botswanaaaa pia Mambo ya single mother wakati baba Yuko hai hatareeeee sanaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app