Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,545
- 235,319
HongeraNiliwahi date the guy hakuniambia kama kuna vitu tayari anamiliki, baada ya uhusiano na kwenda nyumbani kwetu ndiyo anaanza kufunguka I have this and this, na akaanza nionyesha vitu vyake, nadhani ndiyo alianza kuniamini lakini ukweli baada ya kujua hayo yote ndiyo nikachukua uamuzi wa kuachana naye..!
Sababu mwanzo nilijua hiyo 'kind ya disrespect' ako nayo sometimes, labda ndivyo alivyo, baada ya kujua alivyo navyo ndiyo akili ikafunguka anhaa' kumbe this is the reason huyu kaka anani treat hivi?? Sababu ana jeuri na 'kibri' cha pesa, nadhani alikuwa anaamini hakuna mwanamke atamuacha, ila mzee hakuamini niliseeeepa mbio nyingi sana japo hadi nyumbani alikuwa anafahamika tayari.!!
Ladies, ni wanaume wachache sana uwakute wana kila kitu na bado wataku treat right, tumeanza from the scratch na my current man na raqha ya kupendwa na kuheshimiwa naiona lol'.!!
[emoji122][emoji122]Kuanza pamoja is overrated.
Unaanza nae unakuwa " the woman he can get ", mkipasua anatafuta "the woman he actually wants " [emoji2960][emoji2960] . Wanaume wengi wanasettle na wanawake kupunguza makali ya maisha lakini si kwamba mapenzi ni ya dhati.
Kama Mimi Ni broke or not, kama ningekuwa approached na mtu alietafuta mwenyewe I will know I am the woman he actually wants.
Macho ya rohoni yakiona Tukuyu hayafanyi kazi, kamuulize Adam, Suleiman, Samson na wengine wengi wenye macho ya rohoni makali kuliko darubini[emoji16][emoji16][emoji16] Mtumishi unaniangusha...kwani Mungu hajakupa macho ya rohoni?
labda wale wa kupewa za urithi tu lakini mtafutaji anajua vyema kuendesha mitikasi yakeAnaweza akawa anakili kitu but asiwe na akili ya kuendesha zile mali zake, na akakutana na ww ukampa muongozo mzuri na akazidi fanikiwa na akupenda sana tu. Unaweza ukaanza chini na mtu na bado akawa msumbufu kwenye mapenzi akaspend kile mlichotafuta wote na wanawake wengine.
Thank you...Kuanza pamoja is overrated.
Unaanza nae unakuwa " the woman he can get ", mkipasua anatafuta "the woman he actually wants " 🤭🤭 . Wanaume wengi wanasettle na wanawake kupunguza makali ya maisha lakini si kwamba mapenzi ni ya dhati.
Kama Mimi Ni broke or not, kama ningekuwa approached na mtu alietafuta mwenyewe I will know I am the woman he actually wants.
Wewe huna shughuli ya kukuingizia kipato pia?.A guy unamkuta ana nyumba, ana usafiri, ana biashara yake na kazi yenye kipato kizuri. All of this umekuta ameaccomplish mwenyewe bila ya wewe.....
Then unakuwa attracted na this type of a guy na kumpa all of your attention na moyo ili muwe pamoja. But the problem inakuja kwenye swala moja....?!
Unakwenda kuchangia nini katika maisha yake zaidi ya kutaka kutumia nae alichotafuta......?!
If he in all well and good and you are broke as broke..... Nambie hapa unakwenda kutoa what type of contribution ili tuite umekwenda fanya maisha na huyu brother?!
Ladies can i hear from you about this, guys you too can contribute.
On my side sijawahi kutamani that time of start katika mahusiano. The good thing nimeona thamani ya kuanza pamoja na hata hapa nilipofikia nashukuru sana MUNGU naona tofauti ya kuishi na mwanaume na kuwa na mwanaume........
What about dating a broke lady? Ila maisha haya, dah!!Thank you...
Sikuhizi naona trend iliyopo ni we meet somewhere or at the top..kila mtu anatafuta
and why is it always assumed that the woman is broke?.
Hivi hamna wadada wenye hela?.
ukiwa na hela dating broke guys can be difficult..afterall well off guys dont date broke btches either(excuse my language)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Majambazi wa mali za wanaume yameanza kujibu huu uzi kwa kuandika dash dash huku mengine yakiandika mmmhhhhh!
Tatizo wanawake wengi wa hapa Bongo wako na tamaa kama hii ya Hamisa Mobeto, wanamfuata jamaa kisa ana hela ili awe anazitumia tu pesa na kujianika mitandaoni kuwa kapata. In reality hana any contribution katika maendeleo ya huyo mtu. Siku za nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke wa dizaini ya Hamisa na Wema, yule mwanamake alijuwa kuwa nina mke na alijitahidi sana kushindana na mke wangu na kutaka nimuache niwe naye yeye.A guy unamkuta ana nyumba, ana usafiri, ana biashara yake na kazi yenye kipato kizuri. All of this umekuta ameaccomplish mwenyewe bila ya wewe.....
Then unakuwa attracted na this type of a guy na kumpa all of your attention na moyo ili muwe pamoja. But the problem inakuja kwenye swala moja....?!
Unakwenda kuchangia nini katika maisha yake zaidi ya kutaka kutumia nae alichotafuta......?!
If he in all well and good and you are broke as broke..... Nambie hapa unakwenda kutoa what type of contribution ili tuite umekwenda fanya maisha na huyu brother?!
Ladies can i hear from you about this, guys you too can contribute.
On my side sijawahi kutamani that time of start katika mahusiano. The good thing nimeona thamani ya kuanza pamoja na hata hapa nilipofikia nashukuru sana MUNGU naona tofauti ya kuishi na mwanaume na kuwa na mwanaume........
Haha stereotypes kila sehemu..kila watu wana level zaoWhat about dating a broke lady? Ila maisha haya, dah!!
Jesus what a crazy woman!!Tatizo wanawake wengi wa hapa Bongo wako na tamaa kama hii ya Hamisa Mobeto, wanamfuata jamaa kisa ana hela ili awe anazitumia tu pesa na kujianika mitandaoni kuwa kapata. In reality hana any contribution katika maendeleo ya huyo mtu. Siku za nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke wa dizaini ya Hamisa na Wema, yule mwanamake alijuwa kuwa nina mke na alijitahidi sana kushindana na mke wangu na kutaka nimuache niwe naye yeye. Najuwa nilifanya kosa kumcheat mke wangu ila haikuwa nia yangu, huyu mwanamke alikuwa kero kwangu, so kwa kifupi nilidhani ningeduu naye angeniacha alone kumbe sivyo. Mdada alikolea penzi na kunipigia simu hata nikimwambia niko na mke wangu anaanza kubwaka, yaani mimi unaniona sifai siyo? Namwambia wewe na mimi ni marafiki tu huyu ni mke wangu, anakasirika na kuanza kumsaka mke wangu wajilinganishe. Nilikuja kumuacha aliponiambia nimjengee nyumba kama anayoishi mke wangu na nimnunulie gari kama la mke wangu, nikamtalia na kukata line.....Sasa anasema atanikomesha kwanini nimempotezea muda, yaani wanawake kwa kweli mnaboa sometimes.
Kwa kweli anaboaJesus what a crazy woman!!
na pia kuna type ya men (me included) ambao tukipata pesa hata kama ni kiasi kidogo tunajitahidi sana kuwaonyesha wanawake zetu ni jinsi gani tunawapenda . don't be too negative dearHehehe sasa Kuna wanaume ata Mali bado hawana lkn anavo kutreat kama anakufanyia hisani kuwa nae na hapo ata kazi hana nawaza tu upepo wa pesa ukimpitia cjui itakuwaje....apo akishika tu 50 anabadilika sasa akishika millions of money...
Hongereni sanana pia kuna type ya men (me included) ambao tukipata pesa hata kama ni kiasi kidogo tunajitahidi sana kuwaonyesha wanawake zetu ni jinsi gani tunawapenda . don't be too negative dear
Thank you...
Sikuhizi naona trend iliyopo ni we meet somewhere or at the top..kila mtu anatafuta
and why is it always assumed that the woman is broke?.
Hivi hamna wadada wenye hela?.
ukiwa na hela dating broke guys can be difficult..afterall well off guys dont date broke btches either(excuse my language)
Ahsante mkuuHongereni sana
Ni mawazo yako tu ya kimasikini ndio ulihisi unakua disrespected au ni tabia tu ya huyo mwanaume uliekutana nae. Kwani hata huyo asiekua na mali siku akizipata utaanza kuona tabia zake ambazo hujawahi kuziona. Maisha yako vile ambayo unayachukulia kuliko vile unadhani watu wanakuchukulia.Niliwahi date the guy hakuniambia kama kuna vitu tayari anamiliki, baada ya uhusiano na kwenda nyumbani kwetu ndiyo anaanza kufunguka I have this and this, na akaanza nionyesha vitu vyake, nadhani ndiyo alianza kuniamini lakini ukweli baada ya kujua hayo yote ndiyo nikachukua uamuzi wa kuachana naye..!
Sababu mwanzo nilijua hiyo 'kind ya disrespect' ako nayo sometimes, labda ndivyo alivyo, baada ya kujua alivyo navyo ndiyo akili ikafunguka anhaa' kumbe this is the reason huyu kaka anani treat hivi?? Sababu ana jeuri na 'kibri' cha pesa, nadhani alikuwa anaamini hakuna mwanamke atamuacha, ila mzee hakuamini niliseeeepa mbio nyingi sana japo hadi nyumbani alikuwa anafahamika tayari.!!
Ladies, ni wanaume wachache sana uwakute wana kila kitu na bado wataku treat right, tumeanza from the scratch na my current man na raqha ya kupendwa na kuheshimiwa naiona lol'.!!
nini hii umeandika sasa umeanza vizuri ukaishia kwenye ubaguziExactly . Realistically kama kweli mwanamme anazo hela na mali za kueleweka, kwanini aende kutafuta broke b*tch? Aidha atatafuta anaelingana nae au ambae at least ana juhudi fulani katika maisha.
Exception pekee ambayo naweza kufikiria ni ma Trophy Wife. Wanataka arm candy, kitu cha kuringishia wengine. Au labda mwanamme ana pesa lakini sura na shepu no mbovu mbovu so atahakikisha mwanamke ampatae ni 100% model type ili angalau watoto wawe na chance kuwa na sura zinazoeleweka.
Beauty is currency.
Mfano Trump na Melania. Trump was rich, Melania ni masikini from eastern europe hata kiingereza kinampiga chenga. Trump mbegu yako ni mbaya hata as a self proclaimed billionaire ona mitoto yake. Thank goodness for plastic surgery hao mabinti wamepona kidogo. Watoto wote wamezaliwa na ma model type.....
View attachment 1605255
View attachment 1605261
View attachment 1605262