financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,515
Yaani ukisoma komenti za huyu mwanamke hata kama ulikuwa na njaa unashiba walah
Sikujazi wala, ndio ukweli kabisaSio kwa kunijaza huko dada. Ndaga fijo
Ila kuwa na mwanaume asiye na hela ni kipaji.Yaani ukisoma komenti za huyu mwanamke hata kama ulikuwa na njaa unashiba walah
[emoji16][emoji16][emoji16] mimi ninacho kwa sababu hata mimi sina hela...ningekuwa nazo huwenda hata mimi ningekuwa na allergy hiyoIla kuwa na mwanaume asiye na hela ni kipaji.
Nafikiri wewe unacho lakini mimi sina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Omba kwa Mungu akupe mwenye hela dada.[emoji16][emoji16][emoji16] mimi ninacho kwa sababu hata mimi sina hela...ningekuwa nazo huwenda hata mimi ningekuwa na allergy hiyo
Ila miss huwaga unawazaga nini?Naolewa shosti na siendi na chochote zaidi ya k
[emoji16][emoji16][emoji16] ngoja niingie kwenye maombiOmba kwa Mungu akupe mwenye hela dada.
Atakuambukiza mahela na wewe utakuwa na hela utoke huko dada [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
UPENDO wa kweli ndio silaha ya ndoa.......hata kama mmeanza pamoja.......bila UPENDO wa kweli ni bure.....Upendo jamani.....Upendo tuu....Kiubinadamu: kila mtu anakuwa free na proud na ana uchungu na kitu ambacho amekitolea jasho. Ni nzuri zaidi kuanza na mtu kutoka chini; lakini pia sio lazima, na pia sio guarantee kwamba huko mbele atakuheshimu na kukutreat vizuri baada ya mambo kutiki. Sasa mtu kama alianza na mwingine chini wakafanikiwa ila wakashindwana; ndiyo kusema asioe au?
Mtu sahihi; regardless ana mali au hana mali ni mtu mwenye UTU. kuna wanaume hela hana na utu hana vile vile; leo utateseka na akizipata ndiyo utateseka zaidi. Tena mwanaume mwenye hela hadi akufuate ni kwamba wewe ndiye anayekuhitaji. Upendo wa maskini hauaminiki kwa kweli (hata mimi mwanamke maskini naweza kumkubalia mtu kisa tu hela). Inawezekama kabisa yupo na wewe kwa sababu ndiyo mtu ambaye he can afford at that time; ila dream woman wake ni mwingine kabisa. Akishapata hela ndiyo yale, sikutaki wewe sio type yangu. Au mwingine ndiyo ile tu nafsi inamsuta mmetoka mbali; basi utaendelea kuwa mke mtazamaji ila mkewe halisi atakuwa naye huko nje akizitumbua.
Na tusiwaseme tu mabinti kwamba wanapenda ready made; na wanaume wengi wa kiafrika wanazingua. Mtu unaanza naye chini huko mnapigika wee; siku nuru inaanza kuonekana unasema angalau sasa na mie ntaanza kuvaa na kanguo ka elfu 15; mwenzako ameshatafuta wa kuzitumia naye. Wewe ndani maisha yanabaki almost vile vile afu huko nje mwenzako anaspend tu. Ndiyo malipo yako hayo.
Kuna mdada humu alikuwa analalamika mumewe wameanzia huko chini, wakapambana wakaanzisha kampuni yao, sasa hivi imesimama maisha yamewanyookea. Lakini mume magari anapanda mwenyewe, mke anaenda ofisini na daladala. Yaani magari ya kwao lakini yeye anaishia kuyapigia picha kwa nje, kila kitu ni manyanyaso. Na usiseme mkewe alimnyanyasa zamani coz she did'nt. Na mtu akunyanyase afu akuvumilie miaka yote hiyo hadi mje mfanikiwe; obviously angeshamuacha au basi mshukuru tu alikupa mori ya kupambana. Ndiyo hayo wanawake wengi wanaishi kwa uchungu, anasubiri mume afilisike au agonjeke ndiyo anapata chance ya kulipiza. Na wanaume wakorofi uzeeni wanaisoma namba
Binti akikutana na mwanaume ana mali, akampenda na ana utu na anamuheshimu; kwa kweli aolewe tu. Usimkatae mtu kisa eti ana mali atakunyanyasa wakati mtu hajawahi hata kukudharau. Umaskini sio sifa wala sio kigezo cha kuja kuwa mume bora. So tusiwachukulie wanaume wote wenye mali kana kwamba hawafai na maskini wote ndiyo wanafaa. Kuna watu wana dharau zao za asili hata kama hana hela. Yaani hata muanze naye barabarani; kwake hutokuwa na hadhi wala heshima.
Kama mtu ana mali aombe tu apate mtu mwenye kujitambua; atakayekuwa na uchungu na mali za mumewe kwa sababu anajua ndiyo zitawasaidia watoto wao na wapendwa wao. Sio mtu ana akili ya ku-slay tu.
UPENDO wa kweli ndio silaha ya ndoa.......hata kama mmeanza pamoja.......bila UPENDO wa kweli ni bure.....Upendo jamani.....Upendo tuu....
Mwanaume asie na hela au asie mtafutajiIla kuwa na mwanaume asiye na hela ni kipaji.
Nafikiri wewe unacho lakini mimi sina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uko sahh mpenz nakuunga mkonoA guy unamkuta ana nyumba, ana usafiri, ana biashara yake na kazi yenye kipato kizuri. All of this umekuta ameaccomplish mwenyewe bila ya wewe.
Then unakuwa attracted na this type of a guy na kumpa all of your attention na moyo ili muwe pamoja. But the problem inakuja kwenye swala moja?!
Unakwenda kuchangia nini katika maisha yake zaidi ya kutaka kutumia nae alichotafuta?!
If he in all well and good and you are broke as broke. Nambie hapa unakwenda kutoa what type of contribution ili tuite umekwenda fanya maisha na huyu brother?!
Ladies can I hear from you about this, guys you too can contribute.
On my side sijawahi kutamani that time of start katika mahusiano. The good thing nimeona thamani ya kuanza pamoja na hata hapa nilipofikia nashukuru sana MUNGU naona tofauti ya kuishi na mwanaume na kuwa na mwanaume.
DJ shikilia hapo hapoLadies, ni wanaume wachache sana uwakute wana kila kitu na bado wataku treat right, tumeanza from the scratch na my current man na raqha ya kupendwa na kuheshimiwa naiona lol'.
Unakuwaga na akili saa zingine we mtotoKikubwa kupendana tu haijalishi ana mali au hana mali. Unasema naenda kucontribute nini? Yeye hadi anakuja kunitaka atakuwa anahitaji nini? Mpaka akataka mahusiano basi kuna kitu ameona kinapungua katika maisha yake, hicho ndio nitakachocontribute
Saa zote nakuwaga nazoUnakuwaga na akili saa zingine we mtoto
Ubishi tu ndio upunguzeSaa zote nakuwaga nazo
Ah wapi kwenye kuchepuka wanaume nafsi hazijawahi kuwasuta hata siku moja ndiyo maana hamuachi! Zingekuwa zinawasuta mngeacha!Nina Mali niko vzr kiuchumi hatujaanza wote hamna kitu ume contribute nikikufuata of course you are the woman I want
Katika wengi niliokua nao [emoji16] umenipata vizuri hauko peke yako
Yule nilianza nae namuogopa sana tena nahemushimu na ukitaka Ku cheat kunakuwa na ka imani flani hivi nafsi inakusuta
Hivi kuna tofauti ya kuchepuka huku nafsi inakusuta na kuchepuka huku unachekelea?Ah wapi kwenye kuchepuka wanaume nafsi hazijawahi kuwasuta hata siku moja ndiyo maana hamuachi! Zingekuwa zinawasuta mngeacha!