Ladies & Gentlemen...!

Nikajua ni lile tangazo la La Chaz pale sinza ... Ladieess and Gentlemen ndani ya La chaaz utapata kukuchomaa ... wali choma [emoji23] makange ya mbuzi ... makange ya maharage [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1544]

Hahahahah.

Ladies & Gentlemen hii sio ya Sinza aisee mdau hapo juu kasema ni ya uchagani hii mkuu.

Hatari Sana.
 
Chura za akina gigy na masogange

Aiseeeee hata sikubali my dear ngoja nije PM unitumie japo kapicha nione figure ya kinyakyusa mwaya. Hahah.
 
Aiseeeee hata sikubali my dear ngoja nije PM unitumie japo kapicha nione figure ya kinyakyusa mwaya. Hahah.
Hahahaaaa ninayo. chura ila sio ya kufanyia matangazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…