Good Neighbour
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 942
- 896
Kipengele cha NB kinakuhusuWanawake wahitaji muhogo na si bamia, wanaume warefu wenye vifua vikubwa, pesa nyingi na kupiga show za maana kutokana na research za karibuni sio maandiko.
Excellent mkuuMwenye masikio na amesikia.
PerfectWameelewa ila wanajifanya hayawahusu, visingizio vya mwanaume mashine nimekuja kutokana na wanaume kutopenda kufanya kazi kutafuta hela hivyo kuamua kujiuza(kutumia kiungo chao) ili kujikimu kimaisha, mwanaume sio mashine tu mwanaume ni yule anayeweza kukabiliana na changamoto za maisha hasa katika kuboresha maisha ya familia yake
Ndio mana niliweka NB freshman,ninachozungumza mimi na wewe ni tofauti.Tunazungumza mahusiano yatakayozaa ndoa itakayodumu,sio uchambuzi huowazo laku zuri.. ila linatekeleza ikiwa all other factor remain constant....
wanaume wenye hofu ya mungu wengi maskini ambao hamuwataki kwa kusingizia hawawezi kuwatunza...
pili ke ni wengi kuliko me.. kuna wachache wenye vigezo vyote ambapo katika ration unakuta me mmoja mwenye sifa zote wanawake 20 wanamtaka huyo huyo... so ushindani unaingia kati ambapo ili ushinde hilo shindano inabidi uwe na vigezo pia ambapo hivyo vigezo wadada wengi hamna...
tatu, usisahau hakuna mwanamke ambae hana nguvu za kike.. ila kuna wanaume wengi wenye sifa zote nao hawana nguvu za kiume.. wameamua kutooa kabisa... hapo sasa law of demand na law of supply zinapoingia kati...
Wanawake wahitaji muhogo na si bamia, wanaume warefu wenye vifua vikubwa, pesa nyingi na kupiga show za maana kutokana na research za karibuni sio maandiko.
wazo laku zuri.. ila linatekeleza ikiwa all other factor remain constant....
wanaume wenye hofu ya mungu wengi maskini ambao hamuwataki kwa kusingizia hawawezi kuwatunza...
pili ke ni wengi kuliko me.. kuna wachache wenye vigezo vyote ambapo katika ration unakuta me mmoja mwenye sifa zote wanawake 20 wanamtaka huyo huyo... so ushindani unaingia kati ambapo ili ushinde hilo shindano inabidi uwe na vigezo pia ambapo hivyo vigezo wadada wengi hamna...
tatu, usisahau hakuna mwanamke ambae hana nguvu za kike.. ila kuna wanaume wengi wenye sifa zote nao hawana nguvu za kiume.. wameamua kutooa kabisa... hapo sasa law of demand na law of supply zinapoingia kati...
Naamini hivyoWamekusikia nadhani