Ladies be ware na wachumba wa kizungu wa mtandaoni

Ladies be ware na wachumba wa kizungu wa mtandaoni

candymarry

Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
32
Reaction score
8
Habari za hapa wanajamvi, naomba kuwashirikisha hili na kuwapa warning hasa wadada wanaopenda kuolewa na wanaume wa kizungu. kuna baadhi ya mitandao watu huweka picha halisi ukiachilia facebook. unakuta mwanaume ana like profile yako na anakutumia email yake kwa mawasiliano zaidi, picha zile ni fake na wanazitumia kutuhadaa mwisho wa siku mnachat anatafuta sababu yeyote ile ya kukufanya umuamini at the end of the day unamuamini kumbe ni jamaa tu lipo hapo nchi za jirabi kama kenya au Uganda. wanatumia sana njia ya kuatangaza ndoa lakini kinachofuata ni kukutapeli pesa either kwa kukudanganya kuwa kuna mzigo kakutumia ulipie pesa kidogo za kuupokelea nawe kwakuwa umemwamini basi ukituma tu, umeliwa.
Be careful please.
 
EEhhh polesana muhanga ila kwenye hii dunia ya sasa hamna kitu kisichokua gharama kabisa,vya bure ni aghali sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom