Ladies and lovemaking

I thought they loved gentlemen....
Ni kweli wananwake wengi wanapenda wanaume ambao ni gentle, lakini gentle in what sense? Kuna mchangiaji mmoja kasem kuwa it depend na mwanamke uliyenaye, hakuna formular ya namna ya kumpata mwanamke, zingatia sana hilo. Wengi wanapenda gentlemen kwenye touching, kisssing, massaging na mambo kama hayo. Wako wanawake kama hawajakuona six pack imetoka huwezi kumfurahisha, lazima mkono uwe kama RAMBO ndio anaenjoy, vinginevyo anadhani yuko na shemale. Hanhaaaaa
 

kama hao lazima ubake tuu,utashangaa na kesho yake anarudi tena mapema juu ya alama
 

Nilishawahi kuwa kwenye situation hiyo mkuu! But I learnt to be a Masterful seducer and Woman's Fantasy man, gegedo kama kawa tena smoothly kabisa since then!
 
umeongea ukweli kabisa........ pia kufanya ngono na mtu kwa mara ya ya kwanza hujenga kitu kama hofu fulani na kama hamja pima ndio kabisa...yanakuja mawazo kama " vipi kama ameathirika? uwiii ntakufa mie" so hapo lazima stimu ikate...

Baby DEMBA naruhusiwa kucomment hapa au nipite tu?πŸ™„
 
Last edited by a moderator:

Baba paroko mwenza haya mambo ndo maana "tulioa mapema" ....
 
beby ake kwanini umepaona hapo jameni...usikomenti bana...
Eiyer ndo kaniita nije uku mi nlokiwa zangu na Ennie kwen ule.uzi wa member aliyempata mwenzie humu humu.....πŸ™„
 
Last edited by a moderator:
baby ake kunani tena na huyo Ennie mbona wanipa mashaka baby!!! si uliniahidi umeacha ubazazi jameni
Eiyer ndo kaniita nije uku mi nlokiwa zangu na Ennie kwen ule.uzi wa member aliyempata mwenzie humu humu.....πŸ™„
 
Last edited by a moderator:
baby ake kunani tena na huyo Ennie mbona wanipa mashaka baby!!! si uliniahidi umeacha ubazazi jameni
Ennie ni umbuje baby....wala hstie hofu..afu uyo jamaa apo juu achana naye usimpe kiki bure
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…