Ladies and gentlemen tujadili hili.

Kwa kweli ni kwenye kila jambo binadamu tumezidi kuziachia hisia zetu zituongoze..hadi kuna msemo watu watakuambia 'follow your heart' wakati bible inasema clear our own hearts deceives us! Matumizi ya ubongo yanazidi kupungua siku hadi siku....

PC its true kabisa, siku hizi tunaongozwa na viungo vyetu vya uzazi na si ubongo tena!
 
Mi mpaka sasa navumilia. Ni kitu kinachowezekana kabisa. Kama mnabisha basi msichana au mwanamke yoyote yule ajaribu kunipatia na haone kama nitakubali.

Z10 big up kama umeweza, ila unajiandaaje na changamoto wadau walizozisema?suppose unaoa then unakutana na mtu ana jinsia mbili, what will u do?
 
one thing i have come to realize abt ppl who abstain tend to be masters of m.a.s.t.u.r.bation.
sasa ya nini ujiweke kwenye hilo kundi wakati unaweza kupata kitu.

Umefanya research mkuu au unahisi tu! Ku abstain withouy masturbation is very easy, ni kuutawala mwili wako tu mkuu!Ukidhamiria unaweza bwana.
 
Ngumu sana kusubiri hadi ndoa! Ukikuta ni incompatible je!? Inakula kwako!!

Kwenye biblia tunaambiwa ukimuomba Mungu mkate atakupa mkate kamwe hatokupa jiwe. So I believe ukimuomba God mke/mume basi atakupa na kamwe hawezi kukupa incompatible.
 
Back
Top Bottom