Wanawake msifanye mchezo na midume, itakula kwenu na kuwaumiza.
wanaume msifanye mchezo na wanaweke, itakula kwenu na kuwaumiza!
poleee, futa machozi.
ucjali mwaya sahau ya nyuma haya ni mapya.
hiy no. 3 zamani nlikuwa nikiifanya sana.............maskini mie
kati ya wadada wenye bahati huyu ni mmoja wao, sidhani kama mpaka sasa kavunjwa moyo na mwanaume yeyote yule, ye anatumia anaanza akikuchoka utajijua mwenyeweNo. 5 inanikumbusha vituko vya Wema Sepetu na wapenzi wake. Kama hajakutusi basi anakuvunjia vioo vya gari lako.
Hili somo kalileta ndugu Invisible kuelimisha ladies kwa sababu wengi wao ndio hupata tabu zaidi mahusiano yanapovunjika kuliko men.
Msipuuzie akina dada
No. 5 inanikumbusha vituko vya Wema Sepetu na wapenzi wake. Kama hajakutusi basi anakuvunjia vioo vya gari lako.
Hili somo kalileta ndugu Invisible kuelimisha ladies kwa sababu wengi wao ndio hupata tabu zaidi mahusiano yanapovunjika kuliko men.
Msipuuzie akina dada