Ladha ya kupombeka

Ladha ya kupombeka

Mabinti zake Lutu baada ya angamizo la Sodoma lililoondoka na mama yao mzazi.... Pamoja na nia yao ya kuendeleza KIZAZI lakini pia hamu(ashiki!) Viliwatuma wapange ku do na baba yao mzazi View attachment 592265hakuna asiyejua nguvu ya mvinyo hasa kwa wale madomo zege lakini pia kuna ladha yake very amazing when you are high with red wine and some alcohol in your spine bila kusahau ngumu kumeza! Ndomu kitu gani bana! Wengi wameangamia Samson wa Delilah ni mmojawapo
Kipochi manyoya hakina adabu kabisa kile kidude... KIONE!!!! sura mbaya LAKINI MWANA! USIPIME
kajiimbia Mwasiti 'Sio kisa pombe mama/my?! Acha kabisa ANAJUA
Habari za uchawi unaziacha taratibu... unahamia POMBENI
 
Joke iko wapi hapo ,mtu alinambia huyu mukuu anajiheshimu sana ,hapa anahamasisha ulevi na uzinifu bila anachokiita ndomu
Mmh
The only itakuchukua muda kunielewa na fasihi niliyotumia... Labda nikugusie tu kwamba kuna madaraka ya kulevya na aliyelewa huwa careless hasa linapokuja swala la ngono, hawezi kukumbuka kondom....
Kilevi cha madaraka huwafanya watu kuwa na maamuzi ya hovyo kama mlevi mbele ya kipochi manyoya. ..... Endelea kutafakari
Kuna ashiki ya ngono lakini pia kuna ashiki ya madaraka...
Kuna kilevi cha pombe lakini kuna kilevi cha madaraka...

Kuepuka upotoshaji na tafsiri isiyo sahihi nimeamua kukupa mtazamo kidogo wa kile nilichoandika kifasihi
 
Bila shaka mkuu mshana umeshashtua by the time unaandika hii thread
Kuna jamaa mmoja huwa akitoa speech zake pia huwa nawaza kama wewe! Kwamba mmh...! Kwa speech hii! Hajastua kweli huyu
 
"Kungonoka bila ndomu baada ya kunywa kilevi"=kufanya maamuzi bila kufuata katiba baada ya kupata madaraka!
 
Mabinti zake Lutu baada ya angamizo la Sodoma lililoondoka na mama yao mzazi.... Pamoja na nia yao ya kuendeleza KIZAZI lakini pia hamu(ashiki!) Viliwatuma wapange ku do na baba yao mzazi View attachment 592265hakuna asiyejua nguvu ya mvinyo hasa kwa wale madomo zege lakini pia kuna ladha yake very amazing when you are high with red wine and some alcohol in your spine bila kusahau ngumu kumeza! Ndomu kitu gani bana! Wengi wameangamia Samson wa Delilah ni mmojawapo
Kipochi manyoya hakina adabu kabisa kile kidude... KIONE!!!! sura mbaya LAKINI MWANA! USIPIME
kajiimbia Mwasiti 'Sio kisa pombe mama/my?! Acha kabisa ANAJUA

Eti kipochimanyoya
 
Kuna jamaa mmoja huwa akitoa speech zake pia huwa nawaza kama wewe! Kwamba mmh...! Kwa speech hii! Hajastua kweli huyu
Tena yule unaweza kukuta ameshtua na pampula au wanzuki, maana sio kwa speech zile.
 
Back
Top Bottom