nataka kupga Medical laboratory science
zote ziko poa tu,ni wewe mwenyew unahitaji ipi?kwasababu medical lab,anafanya kazi hosp,had katika research centres za kimedical,biotechnology, viwandani,had kwenye research kwa kias fulan anahusika,kiufup ni course nzur zote.ila angalizo med lab ni rahisi kupata kaz serikalin kuliko biotechnology,ambapo biotechology viwandan ndo wanaajiriwa sana