Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 644
Habari wakuu...
Nataka niapply hizi course kwa ngazi ya diploma ila nipo katikati kati ya hizi course mbili kwa upande wa lab technician nampango nikimaliza nijiunge degree hapo hapo ila nina mpango wa kujiajiri kwa hii course naogopa kupiga CO kwa kuwa nahisi ni ndefu sana hivyo ntatumia muda mrefu kupata degree na nijuavyo mimi ukimaliza CO lazima uingie kazini sasa lengo langu kubwa ni kupata degree...wakuu naombeni msaada wa mawazo