Pole mkuu, hebu funguka bila woga nini kimekupata kwenye ndoa? Kutoa ya moyoni nayo pia ni dawa.Janga la pili duniani baada ya jehanum ya moto, ni ndoa mbovu...Kosea kuvaa nguo ya ndani kichwani...Usikosee kuoa au kuolewa..
Nani kasema ndoa ndoano labda kama umeoa au umeolewa na samaki..
Hivi mbona hizi story za hivi huwa haziishi?...BTW michezo mingine kama ya ndoa inakubidi uwe mtazamaji tu.Janga la pili duniani baada ya jehanum ya moto, ni ndoa mbovu...Kosea kuvaa nguo ya ndani kichwani...Usikosee kuoa au kuolewa..
Nani kasema ndoa ndoano labda kama umeoa au umeolewa na samaki..
Hapo ndipo anaonyesha ukomavu na CV inakuaPole ndio ukubwa huo
Hazitoisha mkuu, sababu haya mambo yanatugusa kwenye maisha ya kilasikuHivi mbona hizi story za hivi huwa haziishi?...BTW michezo mingine kama ya ndoa inakubidi uwe mtazamaji tu.
Hapo umenena mkuutatizo la kuoana baada ya kugundua gharama za harusi utachangiwa na kwenye sherehe utapewa zawadi
Janga la pili duniani baada ya jehanum ya moto, ni ndoa mbovu...Kosea kuvaa nguo ya ndani kichwani...Usikosee kuoa au kuolewa..
Nani kasema ndoa ndoano labda kama umeoa au umeolewa na samaki..