Labda Mungu tu ndo atawaokoa Atletico Madrid Alianza Arena

Okay tutawaona kesho halafu hili la kuweka hadharani wachezaji wanne au watano ambao inadaiwa hawatarudi msimu ujao lilikuwa ni kosa kubwa sana. Kama timu haichezi tena kwa ari kubwa kama ilivyotegemewa.
Yaani Hilo ndo kosa kubwa sana ambalo Timu nyingi wanafanya at least hata wawe wanasubiri mwishoni mwa msimu ndo waseme.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Aaah
Mimi pia ni shabika wa real ila naona cyo fair vijana wamtoe barca na bayern alaf cyw tuwatoe roma na woflsburg ndo tuchukue ubingwa!!! Itakuwa kama cyo fair hvi


Mi napenda sana mkuu semion abebe ndoo japo naishabikia madrid wao walishachukua na ni mabingwa wa kihistoria haiwezekan atletico wafike final mara mbili watoke kapa ila sijui kama zizou akifanikiwa nae kupita kama ataliachia
 
Kwa kweli Maandiko yametimia humuinua mnyonge toka mavumbini na kumketisha na wakuu........ATM Woyooooooooooooooooo!!!!!! .......Man City Woyoooooooooooooo!!!!!
Leicester woyooooooooo!!!!
We mpira sio dini kama team yako haijiwezi haimaanishi ni mnyonge umeonewa
 
Sometimes pamoja na ufundi mwingi (team tactics) bahati kwenye football ipo,hilo halina ubishi.Unajua kwanini scenario kama hii naizungumzia Atletico Madrid wazee wa deep defence?1 st leg ya semi Final UEFA champions league walipocheza na Bayern Munich pamoja na kuwa nyumbani kwao technically walizidiwa na bahati ndo iliwafanya washinde sole goal la Saul Niguez .

Sio kama na ignore ufundi wa wachezaji mafundi wa AT kama Fernando Torres(El-nino inasemekena amefufuka tena score yake per match inatisha),Antonio Griezman ,Godwin ,Koke ,Fillipe Luis,Gabi etc
Kiufundi kabisa ukiangalia kwa umakini ukaacha ushabiki pembeni Buyern walipiga mpira wa hali ya juu sana na walitengeneza magoli mengi sana sema tu hawakuwa na bahati

Tukija upande wa makocha Diego Semeone ni mission town kocha mjanja mjanja ambaye anashinda game zake ngumu nyingi kwa kutumia ufundi wa kisaikolojia wakati Pap Gudiola ni kocha Fundi ambaye ni mwepesi sana wa ku cope na ku exploit weakness ya opponent wake ,huku akitumia vipaji vya team yake kama Robert Lendowsky,Thomas Muller ,Thiago Alcantara ,Jerome Boateng ,Arjen Roben -fundi ,Vidal,Martinez ,Frank Ribery ,Gotze etc huwa anapata sana ushindi wa goal nyingi sana uwanja wa nyumbani ,situation kama hii tumeiona msimu huu wa UEFA ,kwenye match dhidi ya Juventus(16 bora),BenFica(quarter final) na hata msimu wa mwaka jana nani amesahau kama Bayern alipigwa Goal 3-1 robo fainali na Porto akageuza matokeo kwa kumpiga 6-1 Alianza Arena?

Kama experience ambacho ni kigezo kikubwa cha UEFA ili uweze ku strive wachezaji wa Bayern ndo walewale ambao wanapindua matokeo kwa home advantage ground na wachezaji wa AT wengi wao na kocha ni wale wale ambao wanahistoria yakupoteza match kubwa kwa kuzuia sana mara baada ya kupata ushindi (Refer UEFA champions league mwaka 2013-2014 hadi dakika ya 75 Atletico alikua anaongoza kwa goal 1 kutokana na Psychological maturity ya players wakubwa wa Madrid walibadilisha matokeo na kuchukua ndoo wakimuacha Simeone Diego mdomo wazi huku akiwa tayari alishaliambia jukwaa waanze kushangilia ushindi na kurudisha wachezaji nyuma kuzuia)

Kwahiyo Bayern kuanzia ufundi wa kocha Pap Gudiola ,uwezo mkubwa sana wa kikosi chake wake( wanajulikana sana kwa ma shoot makali) historia ya home ground ,umuhimu wa match bila kusahau style yao yakuzishinda uwanja wa nyumbani kuliko ugenini ukilinganisha na weakness na strength za Atletico ,Namuona Pap Gudiola anatengeneza njia ya Fainal ya UEFA

Naomba tukutane hapa baada ya match siku ya jumanne

Kuna wakati watu hutamani kufuta maneno na manuizo waliyoyatoa sema tatizo bei ya mkaa!
 
Piga nyagi kubwa ya briiiidi ulale, mpira hauendagi unavyofikiri.

Bayern walikuwa na high expectation kitu kilichoharibu mipango yao yote
Ha ha Mungu ndo amewaokoa AT kwa goal la away
 
Back
Top Bottom