Labda ame smell something Fishy, hatuwezi jua

Wafanye wanachofanya ila hiyo brutality ije kwa kuondoa wabadhirifu wa mali ya Umma
Wapunguze ajali kwa asilimia kubwa kwa kuwafukuza wanaosqbabisha ambao ni hao wanaokusanya buku buku huku wakiona matairi ni vipara

Tena waondoe na Top wote hapo nitajua kweli kuna mabadiliko.

Ila kama Rushwa itakuwa palepale wala tusidanganyane.
 
Mara paaaap yupo upinzani anagombea urahisi
Hahahaha maama huu urahisi watu wanautaka sana
 
Kuna mtu anaitwa GENTAMYCINE ,natamani ausome huu uzi atoe comment moja tuu.
Mkuu genta nakuombea huku nisikie Neno lako
 
Mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuthubutu kwenda kuchukua form ya uchaguzi ambao umeisha nyooshewa kibendera chekundu na chama kikuu cha upinzani.
NRNE ni kizingiti thabiti kitakacho dogosha juhudi zote za uchaguzi wa 2025 kuwa sawa na uchaguzi wa ndani wa vyama vya siasa na hasa CCM..... Matokeo ya uchaguzi huo hayatatambulika na jumuia za kimataifa!!
Hata kama kwa kiburi cha watawala watalazimisha kuendelea na uchaguzi huo, tujiandae kushuhudia nchi ikitawaliwa na migogoro na ubabe kwa kuwa madai ya upinzani ambayo kimsingi ni madai ya wananchi ambao ndio wanaopiga kura.... Nchi haitatawalika kisiasa tena bali kipolisi polisi. 🤔
 
January na Nape walichukua form pia ??

Khs Kassim anaweza kupewa ubunge wa kuteuliwa na anapewa na uwaziri mkuu tena ,,,,Raisi anazo nafasi 10 za kuteua wabunge
 
Kuna mtu anaitwa GENTAMYCINE ,natamani ausome huu uzi atoe comment moja tuu.
Mkuu genta nakuombea huku nisikie Neno lako
Niliposema hapa mapema mno mwaka huu kuwa tutegemeeni Vifo vya ghafla na vya Kushtua kabla au baada ya tukio muhimu la Oktoba si mliona GENTAMYCINE natania tu...!!! Yangu macho Mkuu ila najua kuwa yajayo hayatafurahisha kwa wengine na kwa wengine yatafurahisha.
 
Mhhh
 
Aliposema anagombea mlilalama nq sasa amejitoa mko mmekereka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…