Labda ame smell something Fishy, hatuwezi jua

Mkuu halafu wanampa 'kichwa' Bure huyo kaphone..CCM Ina wenyewe na huyo alikaribishwa TU kipindi cha jiwe..ni kwamba ameambiwa apishe whether he likes or not
 
Mkuu halafu wanampa 'kichwa' Bure huyo kaphone..CCM Ina wenyewe na huyo alikaribishwa TU kipindi cha jiwe..ni kwamba ameambiwa apishe whether he likes or not
Labda ameshindwa kufikia matarajio ya JM kwa uaminifu wake kutoka kuteuliwa na utiifu wake kwa wanamtandao, maana sidhani kama Magufuli alimtaka kwa hiari majaliwa
 
Mnajidanganya sana wakuu...msiyetaka yupo sana hadi amalize awamu yake, na akimaliza anakuja January Makamba
 
itakuwa deep state wamemwambia akae kando sababu haitengenezi good chemistry.
 
Tatizo ni ile bikini ya kike yenye kutoa uvundo wa harufu kali na chafu...hivo ndiyo sababu kuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…