Kwamba utazuiwa na Nani?Hakuna uchaguzi huu mwaka kuna mtu aliandika uzi wa kutabiri haya yote humu jf sijui ule uzi haujafuta na mods..?
WazalendoKwamba utazuiwa na Nani?
Wa pili baada ya makamu bwana mapango pilipaKwa jinsi keki ya mamlaka inavyo taste so delicious,So yummy ,so sugary ๐ ๐ฅฎ... hakuna mtu anatamani aondoke kizembe.. watu wapo radhi wamwage damu amini nakwambia ili waweze ku maintain Power and influence ...kizembe tu mtu anakwambia Sitagombea uenyekiti wa kijiji au uafisa mtendaji Kule uRuguay ambapo watu wake wanakuwa na Lindi la mawazo mda wote kutokana na msoto mkali. Akili yangu ambayo hapa nahisi ishakuwa empty set inaniambia "Maybe" the formula one race grandprix itakuwa so brutal and Bumpy, so sisi washangiliaji inabidi "To brace for impact". Maana sio kwa kuaga huku haya mashindano kirahisi hivyo.... huu utamaduni hatuna tusidanganyane. Anyway lets wait and see what will Transipire next without spooking anyone.
Si wa kwanza kufanya hivyo, for the record tu utamaduni huo upo ila ni wachache ndio wanatekelezaKwa jinsi keki ya mamlaka inavyo taste so delicious,So yummy ,so sugary ๐ ๐ฅฎ... hakuna mtu anatamani aondoke kizembe.. watu wapo radhi wamwage damu amini nakwambia ili waweze ku maintain Power and influence ...kizembe tu mtu anakwambia Sitagombea uenyekiti wa kijiji au uafisa mtendaji Kule uRuguay ambapo watu wake wanakuwa na Lindi la mawazo mda wote kutokana na msoto mkali. Akili yangu ambayo hapa nahisi ishakuwa empty set inaniambia "Maybe" the formula one race grandprix itakuwa so brutal and Bumpy, so sisi washangiliaji inabidi "To brace for impact". Maana sio kwa kuaga huku haya mashindano kirahisi hivyo.... huu utamaduni hatuna tusidanganyane. Anyway lets wait and see what will Transipire next without spooking anyone.
Tuwekee huo Uzi hapaHakuna uchaguzi huu mwaka kuna mtu aliandika uzi wa kutabiri haya yote humu jf sijui ule uzi haujafuta na mods..?