Hakuna kitu kinauma kama kupotezewa Muda, Ex wangu hadi leo pamoja na kuwa na kazi nzuri maisha yake hayaeleweki, kwenye mahusiano ndo usiseme, nabado napiga goti kwa Mungu siku atakayorudi kuomba msamaha kwakunikosea ndo amwachilie.
Acha roho mbaya wewe......muone huruma mtoto wa mwanamke mwenzio.........ndo.maana mi kabla ya kumgegeda mdada napiga goti namuomba mungu kwanza kama dakika 5 ivi nikimaliza maombi napiga mzigo we acha lana zako uwezavo hazinipati ngooo
Ni kweli usemayo,hakuna kitu kinauma kama kupotezewa muda jamani, umejitunza na kuwakataa wengine wenye nia afu mtu anakuacha hewani gafla,uwiii.... Mungu niepushie isinitokee tena

Kwani mkuu mpishi anapoweka chakula kwenye hotpot...kwa ajili ya walaji.....anapokuja kula mtu wa kwanza mpishi chakula atakiharibu ili kisiliwe tena au atakitunza kwa matumizi ya wengine...??

Mfano :kimeandaliwa chakula kwaajli ya wageni hapo nyumban kwako na gafla akaja mtoto wako akapakua kile chakula na gafla wageni wanakuja unawafunulia chakula utakuta kilisha pakuliwa je, ww utajiskiaje mbele ya wageni wako? Na utaonekanaje mbele ya wageni wako kwakuwapa chakula kilichopakuliwa?