Laana ya kunyanganya mzee sumaye shamba lake,mtaipata hivi karibuni,mzee sumaye pesa yake ya kiinua mgogo,amenunua kashamba kake,ka kufugia ng'ombe wake,na mbuzi alfu mnamnyanganya?
Mtapigwa,na ukame mwakani,mpaka mrudishe shamba la watu
ukame hauta sababiswa na sumaye kunyang'anywa shamba ila kama serikali imetumia mabavu kumnyang'anya wakati ni haki yake litakuwa si jambo jema hata kidogo
ukame hauta sababiswa na sumaye kunyang'anywa shamba ila kama serikali imetumia mabavu kumnyang'anya wakati ni haki yake litakuwa si jambo jema hata kidogo
Mungu hawezi kuwataabisha watanzania milioni kadhaa kisa mtu mmoja aliye pokwa shamba
LABDA UNGESEMA HIVI HAO WALIO MNYANG'ANYA SHAMBA LAZIMA WAKUTANE NA HASIRA YA BWANA
pia nikukumbushe kitu hali ya hewa ilitabiriwa mapema mwaka huu kuwa kutakuwa na mvua chache hata kabla sumaye hajakumbwa na hiyo kadhia so ukame hauepukiki
usije rudi hapa na kusem eti umesababiswa na hiyo shida iliyo mpata.