Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,079 Reaction score 165,851 Dec 29, 2010 #1 Jengo la makazi mapya ya Spika kama linavyoonekana hivi sasa mjini Dodoma,hiviii lile la spika wa zamani limeenda wapiiii
Jengo la makazi mapya ya Spika kama linavyoonekana hivi sasa mjini Dodoma,hiviii lile la spika wa zamani limeenda wapiiii
Kiranja Mkuu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 4,458 Reaction score 5,169 Dec 29, 2010 #2 Spika mpya na jengo jipya, hatokaa humo, kila siku ataishia kukaa hotelini. Hii nchi safi sana, haitaki usome masomo magumu, we tafuta hata ka digirii ka cookery halafu ingia kwenye siasa, utakula neema ya nchi, wewe hadi uzao wako wa 27
Spika mpya na jengo jipya, hatokaa humo, kila siku ataishia kukaa hotelini. Hii nchi safi sana, haitaki usome masomo magumu, we tafuta hata ka digirii ka cookery halafu ingia kwenye siasa, utakula neema ya nchi, wewe hadi uzao wako wa 27