Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,108
- 2,507
Nimegundua inawezekana Ligi Kuu ya Hispania ikawa na mvuto zaidi kwa kumtazama mchezaji mmoja mmoja ukilinganisha na Ligi ya England ambayo sana sana unaitazama kwa uwezo wa timu kushinda kitimu.
Na ndo maana huoni maajabu ya mchezaji mmoja mmoja katika Ligi ya UK ukilinganisha na Ligi ya Spain. Hata wachezaji wenye mvuto wamekimbia UK na wengi hawaendi kucheza UK.
Hayo ni kwa mtazamo wangu lkn!