La Liga na EPL ni vilaza tu

La Liga na EPL ni vilaza tu

Huku c jukwaa lake. Nenda kule sports ukapambane na gutierez, Sizinga, Mbu, Nzi, Ngongo na wengine. Ungetaja italy tungekuachi jamaa mmoja tu shifta akutoe udenda.

...... ImageUploadedByJamiiForums1403358633.241468.jpg
Hahhaha, homa za dengue hizi sasa!

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
Afadhali ungesema EPL wale wa LA LIGA unawaonea, wamebeba 2010, wakaja beba Euro 2012.

BPL miaka hii ya karibuni wamekuwa watu wa kusua sua
 
Kwani wachezaji wengine wanaongaa..kama messi, ozil, neymar, brian ruiz, giroud, benzema, debuchy, khedira, van persie , vlaar wanacheza wapi mkuu..?!!
 
Nafikiri kafanya utani kwa wanaoshabiki timu za taifa Spana na England
 
England maneno mengi mpira mdogo..halafu hawataki watu wenye vipaji kama wilshere, ox, barkley..hata schooles mwenywe walikua hawamkubali wakati alikuwa bonge la middle..
 
Kutolewa kwa england ndo unalazimisha kusema epl vilaza?
 
Ulaya hata kama Spain wametoka,ila ndio mbabe wao,wengine(nchi za ulaya eg italy,ujerumani,ureno,england) ni bendera ufuata upepo(upepo ni Spain)
 
England maneno mengi mpira mdogo..halafu hawataki watu wenye vipaji kama wilshere, ox, barkley..hata schooles mwenywe walikua hawamkubali wakati alikuwa bonge la middle..
Tatizo lao ndio hilo kama unakumbuka miaka michache iliyopita Darren Bent aliwasaidia sana kwa magoli na matokeo yake wakaja mtema baadae kwenye kikosi.

Sio siri England suala hili la kutowachukua wenye vipaji wanalo sana
 
Ulaya hata kama Spain wametoka,ila ndio mbabe wao,wengine(nchi za ulaya eg italy,ujerumani,ureno,england) ni bendera ufuata upepo(upepo ni Spain)
Naona wamewabeba Portugal wapate japo pointi moja kumbania US ambae angekuwa ameshajipitia, kwanini mwamuzi aruhusu goli dakika ya 95 ikiwa zimeshaisha tayari.

Mbona BENZEMA siku wanacheza na SWITZERLAND alitia goli dakika ya mwisho na likakataliwa kwa madai kipyenga kilishapulizwa sasa kwanini mwamuzi amuachie VARELA wakati ukiangalia mazingira ni yale yale yanayofanana na KAREM?
Na hata dakika tano walizoongeza ni nyingi sana.

Mimi kwa mtazamo wangu naona wamewabania US ili kulinda aibu kwa Mreno maana miamba ya Ulaya inapukutika kama utani.

Na nina uhakika mechi ya mwisho GERMANY na US watapanga matokeo ya suluhu kuwatosa Portugal na Ghana, mwalimu wa US ni mjerumani sasa unategemea nini hapo kwa wajerumani wenzake
 
umetoa tuhuma nyingi; ngoja nijitahidi kukujibu kama mtu wa mpira.

1. kuhusu dakika kuzidi hapo kwenye rangi nyekundu nakukumbusha kilichokea msimu wa 2009-2010 kwenye ligi ya Uingereza. Mechi kati ya Man Utd vs Man City. Matokeo yalikuwa 4-3. Je, unakumbuka goli la ushindi la Man Utd lilipatikana dakika ya ngapi?
2. Hapo unaposema kwamba una uhakika mechi ya mwisho GERMANY vs US watapanga matokeo; sidhani ni jambo la kusema kwa sasa.
3. Unaposema kwamba JURGEN KRINSMAN atapanga matokeo na Wajerumani ili wote wawe na pointi 5; hatakuwa na faida yoyote kwa UJERUMANI wala Marekani; kwa sababu kila mtu anapenda kuwa wa kwanza kwenye kundi ili akwepe kukutana na wababe.

tuzungumzeni mpira...bado mapema kupanga matokeo.:angry:
 
Punguza munkari mkuu si unajua sie wanasoka hatukosi cha kuongea ambacho ndicho kinachonogesha kabumbu.

Ni kweli mkuu nakumbuka goli la MICHAEL OWEN lilipatikana dakika ya 97

Tukiachilia hayo mkuu utakuja niambia matokeo ya GERMANY na US itakuwa suluhu naomba uweke hiyo kichwani mwako halafu tuje kukumbushana hapa jukwaani
 
Kupanga matokeo sio kazi rahisi kama unavyofikiria! Ila naweza kukubaliana na wewe kama ungesema kocha wa marekani anatamani atoe suluhu koz itakuwa advantage kwa taifa lake na anakofanyia kazi, lakini suala la kuanza kuwapanga wajerumani na team mates wake kwamba watoe suluhu hilo suala halipo mkuu!!
 
Mkuu nimekupata vizuri sana na ndio raha ya kubadilishana mawazo na watu wenye akili zao timamu na wanaopenda michezo kwa kweli inaleta burudani sana.

Tusubiri mkuu
 
Naona wamewabeba Portugal wapate japo pointi moja kumbania US ambae angekuwa ameshajipitia, kwanini mwamuzi aruhusu goli dakika ya 95 ikiwa zimeshaisha tayari.

Mbona BENZEMA siku wanacheza na SWITZERLAND alitia goli dakika ya mwisho na likakataliwa kwa madai kipyenga kilishapulizwa sasa kwanini mwamuzi amuachie VARELA wakati ukiangalia mazingira ni yale yale yanayofanana na KAREM?
Na hata dakika tano walizoongeza ni nyingi sana.

Mimi kwa mtazamo wangu naona wamewabania US ili kulinda aibu kwa Mreno maana miamba ya Ulaya inapukutika kama utani.

Na nina uhakika mechi ya mwisho GERMANY na US watapanga matokeo ya suluhu kuwatosa Portugal na Ghana, mwalimu wa US ni mjerumani sasa unategemea nini hapo kwa wajerumani wenzake
Umeniwahi,hata mimi nilitaka kusema hivyohivyo,kuhusu mechi za mwisho ktk mashindano jumlisha na ligi ya england kuchezwa muda 1 kwa kuhofia kupanga matokeo,sasa hii ya leo USA na Germany kuna uwezekano mkubwa kwa wao kupanga matokeo ukizingatia kocha wa USA bwana Jurgen Klinsman ni mjerumani(mchezaji wa zamani wa taifa wa Ujerumani)
 
Mwaka 1990 world cup Italy,kocha wa Cameroon alikuwa Valeri Nepomniachi(yupo kama jopo la ufundi sasa CSKA Moscow)ni raia wa USSR enzi hizo(Russia sasa)mechi ya mwisho Cameroon vs USSR,Cameroon alishinda mechi 2 mfululizo akawa na point 4,wakati huo ukishinda unapata pointi 2 kabla ya pointi 3 kuanza kutumika ktk fainali zilizofuta 1994 USA,sasa mechi ya mwisho kuna tetesi zinasema kocha wa Cameroon wakati huo bwana Valeri alihusika kupanga matokeo Cameroon akafungwa mabao 4-0 na USSR licha walimaliza tayari wa kwanza ktk kundi lao Cameroon juu ya Argentina na Romania.
 
Back
Top Bottom