HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,704
- 48,140
Unaonaje Greece na Ivory Coast ile penalty kweli? Mimi nimeona jamaa kajikanyaga mwenyewe hapakuwa na contact ya kutisha. Na kwa dakika zile mwamuzi hakuhitaji kuwapa penalty Greece kwa mazingira kama yale ambayo dakika za nyongeza imebaki moja afadhali ingekuwa kosa la wazi sana isingekuwa na ulalamishi.Umeniwahi,hata mimi nilitaka kusema hivyohivyo,kuhusu mechi za mwisho ktk mashindano jumlisha na ligi ya england kuchezwa muda 1 kwa kuhofia kupanga matokeo,sasa hii ya leo USA na Germany kuna uwezekano mkubwa kwa wao kupanga matokeo ukizingatia kocha wa USA bwana Jurgen Klinsman ni mjerumani(mchezaji wa zamani wa taifa wa Ujerumani)
Mimi kwa mtazamo wangu naona wameamua kumtoa Ivory Coast sababu alichohitaji ni suluhu tu na kumwezesha Greece