La first Lady(Janet Kagame) rectifie le tir.

La first Lady(Janet Kagame) rectifie le tir.

Another BS garbage ant Kagame post...just go away tumechoka!!!

Kagame is not God, he is a human. He has his wrongs as well. It is time that he admits that, and time for your Koba to admit that too.

Kama sikosei kagame aliamuru wahutu kama elfu 20 hivi wauawe (sina hakika kama ni Ruhengeri au wapi), kuna ushahidi wa kutosha kuwa na yeye anahusika na genocide. So he can not claim to be clean as Koba wants us to believe.

Leo Marekani wanaongea na Taliban, Wajerumani wanaongea na wayahudi, makaburu na weusi Afrika Kusini wanaishi pamoja. Who is Kagame to say he can not speak to Hutus?? Does he think he will live forever?

Si kila mhutu ni Interahamwe na si kila mtusi ni victim wa genocide. Time will tell.
By the way, Koba mmefikia wapi na juhudi zenu za kumkamata Paul Rusesabagina?
 
Ikitajwa Rwanda au Kagame bwana Kobe huaga hachezi mbali, huyu mhutu sijui ni nini kinamuwasha/
tena huyo ni muuaji mkuu, lazima atetee bwanake maana justice inakuja, na kagame hana hata 3 year; he is a dead mad man walking

nadhani kaacha kunywa dawa zake za kichaa, ukiangalia anongea hata mdomo umeshaanza kuvuta upande mmoja... he may end up committing suicide soon

KAGAME NEEDS MEDICAL ATTENTION
 
Huyu mama anamawazo ya dagaa kumeza Tilapia.
 
Who is Kagame to say he can not speak to Hutus?? Does he think he will live forever?
This is the problem to reason na watu kama wewe,nani alikuambia Kagame ana matatizo na wahutu?ungekuwa fair na unaelewa ungempa credit Kagame kwa kupiga marufuku huo upuuzi wa hutu/tutsi nchini Rwanda,na wapuuzi kama wewe ambao hamjui kitu mnafikiri Kagame anaongoza Rwanda kwa maslahi ya watutsi ,pls kabla ya kuja na conspiracy zenu humu jaribuni research kidogo,then hivi nyie watu mnajua hata demand za FDLR mpaka mnapiga kelele na kumwita Kagame murderer akae nao chini kukubaliana chochote?nina uhakika hamna idea what what they want/stand for,last hizi story zenu za uhutu/Tutsi ni za hapa JF na wapuuzi ambao hawaijui Rwanda na extremist ambao still dreaming the last solution,wengi wenu humu still living pre 94 wakati Rwand has moved on and busy building their country.
 
tena huyo ni muuaji mkuu, lazima atetee bwanake maana justice inakuja, na kagame hana hata 3 year; he is a dead mad man walking

nadhani kaacha kunywa dawa zake za kichaa, ukiangalia anongea hata mdomo umeshaanza kuvuta upande mmoja... he may end up committing suicide soon

KAGAME NEEDS MEDICAL ATTENTION
you need help!!!
 
President Kagame... please please HIT and DESTROY the showman!!! DO it for Tanzania and Tanzanians of good will!!!
HIT 'EM UP!!!

You should also to look at this:
 
Attachments

  • Samwel doe.jpg
    Samwel doe.jpg
    23.8 KB · Views: 88
  • Samweldoe.jpg
    Samweldoe.jpg
    4.6 KB · Views: 174
This is the problem to reason na watu kama wewe,nani alikuambia Kagame ana matatizo na wahutu?ungekuwa fair na unaelewa ungempa credit Kagame kwa kupiga marufuku huo upuuzi wa hutu/tutsi nchini Rwanda,na wapuuzi kama wewe ambao hamjui kitu mnafikiri Kagame anaongoza Rwanda kwa maslahi ya watutsi ,pls kabla ya kuja na conspiracy zenu humu jaribuni research kidogo,then hivi nyie watu mnajua hata demand za FDLR mpaka mnapiga kelele na kumwita Kagame murderer akae nao chini kukubaliana chochote?nina uhakika hamna idea what what they want/stand for,last hizi story zenu za uhutu/Tutsi ni za hapa JF na wapuuzi ambao hawaijui Rwanda na extremist ambao still dreaming the last solution,wengi wenu humu still living pre 94 wakati Rwand has moved on and busy building their country.

If so then why does he he fume whenever FDLR is mentioned? not talking about uhutu/utusi does not mean the concept has all of a suddenly disappeared. Ukiwauliza wanyarwanda leo wanasema kuwa wanatishwa kwa hiyo hawataki kuzungumzia uhutu/utusi. Mkuu unaweza kutuambia ni kwanini interhamwe waliwaua watusi? labda wapuuzi kama mimi hatujui, na kama ile sababu ya kuwaua imeondolewa na Kagame.
 
Kagame anamatatizo... Yaani hata jamii forums ina mkera .... Rejea yale maneno aliyozungumza kuhusu mtikila na akailaumu jamii forums ...

Si ajabu hanenepi ....
 
Kagame anamatatizo... Yaani hata jamii forums ina mkera .... Rejea yale maneno aliyozungumza kuhusu mtikila na akailaumu jamii forums ...

Si ajabu hanenepi ....

Unajua anachokosea ni kuwa hataki watu wawe na uhuru wa kuongea, lakini anasahau kuwa unaweza kuwazuia watu kuongea, lakini huwezi kuwazuia kufikiri, ni bora kuwazuia watu kufikiri kuliko kuwazuia kuongea.

Hapa Tanzania hata eediots wana uhuru wa kuongea hawazuiwi, lakini watu wanawapuuza tu mpaka wenyewe wanaacha ujinga wao, we can not and we will not be a country of people who pay attention to eediots and morons. Good ideas will always prevail if there is a room for them, and bad idea will always die if they are seen, not if they are hidden.
 
Back
Top Bottom