Tafuta na Season 3 sasa uone heist nyingine!..Wick Usiku huu ndio nimemaliza kuangalia s2. Kiukweli hii series nimeipenda mno na imefanya wikendi yangu kua lit..
Mkuu niambie na Narcos iko vipi maana nayo ipo ila sijawahi kuiangalia wala kufuatilia kama inahusu nini.
Season 3 niliyoona ni ngeli tupu, halafu kwa sauti zao kabisa!.kina lifufu jr na dj maph hawajafanya yao kweli?? maana hizi za kingereza ni ngumu sana kuzipata
Narcos Ni nzuri..inaeleza maisha ya kipindi Cha Pablo Escobar..kipindi Cha kuuza unga Colombia..pia ipo na narcos Mexico.. inaongelea madawa.. Mexico..miaka hiyo ya 80 na 90Wick Usiku huu ndio nimemaliza kuangalia s2. Kiukweli hii series nimeipenda mno na imefanya wikendi yangu kua lit..
Sadest part in S2 ambazo zimeniumiza mno..
Pale Denver alipoona dingi ake kapigwa zaidi ya risasi 1 tumboni adi akatoka pale asee maumivu yake ya kuona dingi yuko kwa hali hio hata mm nimeyafeel..
- Kifo Cha Mosow.
Ngumu sana kuangalia mzee akiwa kwenye hali hio.
Kiukweli nimeumia kidogo nitoe chozi hasa pale Berlin anatoa order helsink alipue tunnel ila profesa anakataa. Wanaanza kugombania remoya kulipua bomu.
- Kifo cha Berlin.
Berlin. "Helsinki break the tunnel thats an orde"
Mkuu niambie na Narcos iko vipi maana nayo ipo ila sijawahi kuiangalia wala kufuatilia kama inahusu nini.
Series moja Kali kutokea!!!!Raquel aliishia wapi niliona trailer kama alimfuata El Proffesor kule alipoenda!Rio,Nairobi,Tokyo hawa watu noma....ngoja nicheki muendelezo wake S03 sikujua kuwa ishatoka!
Hii series ni the best kwakweli, binafsi natamani season 4 itoke mapema...but kuna some moments kwenye hii season zinaboa kwakwel mtu anaona yupo critical analeta ujinga in reality huwez fanya ivo aseee but kuna some moments u feel like to cry, mfano s03 ep ya mwisho the way askari wamewatrick Wavamizi wamempiga risasi Nairobi,act like they kill Professor's mistress aseesome one to wipe this tears plsbut its good series wamejitahidi sana.....
The nimefatilia hii ni series ambayo inatuzo nyingi sana, tuzo kama 14 km sikosei na nominations kibwena......
Mkuu wiki nzima kazi unafanya saa ngapi kaka?
Uzi tayari?
Kifo cha Berlin kilinifanya nisiwe na momentum sanaa na Season 3..
Berlin nilikuwa namkubali sanaaa..
Vipi kicheko
Cha Denver
Wewe unayefanya kazi 24hrs unamiliki ghorofa ngapi?Mkuu wiki nzima kazi unafanya saa ngapi kaka?
Ni Series Kiongozi Sio Movie....Netflix Wana Mzigo Wote Ni Wewe Tuu Na Bundle Lako.Mkuu naipataje hii movie