LA CASA DE PAPEL (Money Heist) S03: Tujikumbushe sehemu ya 1 na 2 na tutarajie nini??

Can't wait it.. Tomorrow naanza nayo asee ndio nayoyapenda haya
 
Can't wait it.. Tomorrow naanza nayo asee ndio nayoyapenda haya
Season 3 baada ya kuwin kuprint mzigo wao na kupotea, dogo Rio na Tokyo wakaja zingua ikabidi Professor awaite crew upya waje msaidia Rio, ila real motive ya Professor ikiwa ni kulipa kisasi kwa kumuua Berlin
Hapo sasa ndio wakatumia mpango wa Berlin na Palermo wa kuvamia Bank of Spain, ishu imekuja kuna Inspector mpya kaja (Sierra) shes way crazy kuliko Raquel aka Lisbon.
Imebidi waopt matumizi ya nguvu baada ya polisi kumshoot Nairobi na Lisbon.
Ni bonge la Series
 
Naona iko bomba kama PB au sio?? Ungekua karibu ungenigawia hiyo ya S3 maana hua ni mvivu wa kupakua muvi hasa series afadhari ninunue
 
Aseee hii series inaweza kuwa series yangu bora kueza kuitazama mwaka 2019 aseee....
 
Movie ya kijinga sana sijawahi ona!

Matukio yanajirudia saaanaaa lakini pia hayaakisi uhalisia. Maigizo matupu!

Tangu lini majambazi yana-negotiate na serikali wiki tatu nzima huku polisi wanasubiri kuvamia muda wote huo??

Totally crap!
Weka series/movies tatu unazozikubali ili tuipime hii kauli yako ya "uhalisia" katika series/movies...
 
Movie ya kijinga sana sijawahi ona!

Matukio yanajirudia saaanaaa lakini pia hayaakisi uhalisia. Maigizo matupu!

Tangu lini majambazi yana-negotiate na serikali wiki tatu nzima huku polisi wanasubiri kuvamia muda wote huo??

Totally crap!

Nisamehe kwa kukuita wewe jamaa “fala sana” naomba uniambie movie zenye uhalisia ulizoangalia, unajua hata dhima za sanaa ya maigizo na filamu? naomba usitaje za kina kanumba
 
Nisamehe kwa kukuita wewe jamaa “fala sana” naomba uniambie movie zenye uhalisia ulizoangalia, unajua hata dhima za sanaa ya maigizo na filamu? naomba usitaje za kina kanumba
Homeland

Breaking bad

Vikings

How to get away with murder

Anza na hizo kwanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…