Nafikiri uliisikiliza kwa mashaka mashaka, jamaa yuko job, anapata story anawaza akampigie my wife wake! Its cool, inamaanisha your wife/hubby is supposed to be a good friend of yours as well. Mi nafikiri wamewakilisha mapenzi kwa wakubwa (acha zile za nakupenda, nitakununulia gari etc).
Wwe tu hujaona.Lakini inaelimisha sana tu.
kwamba mme na mke wawe na mawasiliano ya karibu na wawe kama marafiki.
Sio mume na mke wananuniana.Mume akitoka kazini ndio kwanza anaishia Bar hana hata hamu na mkewe kurudi saa saba.