Kyrgyzstan president resist second raid

thanhtammongha

New Member
Joined
Aug 15, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Taasisi ya Kupambana na Rushwa nchini humo imemkamata kiongozi wa Upinzani Maryam Nawaz akiwa na binamu yake, Yousaf Abbas

Mamlaka hiyo imewamakata wakati wakiwa katika safari ya kuelekea katika Gereza la Lahore kumtembelea aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Pakistan, Nawaz Sharif

Maryam ni Mtoto wa Nawaz Sharif, anayetumikia kifungo cha miaka 10 jela kwa hatia ya rushwa kupitia kiwanda cha sukari cha Chaundhry anachokimiliki

Binti yake huyo anayefahamika kwa kumkosoa waziwazi Waziri Mkuu wa sasa wa Pakistan, Imran Khan anaweza kufunguliwa mashtaka kama yaliyomfunga Baba yake
 
Huyo Maryam anaweza kufinguliwa mashtka kwa kosa lipi?kumtembelea baba yake? maana kichwa cha habari ni tofauti na kilichopo
 
Rekebisha heading,hiyo ni Pakistani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…