.
Ndiyo, ushindi wake umenifurahisha sana,Lakini baado ninawasiwasi na kuondolewa jina lake.Kumbuka kuwa kyela kulitokea kashfa za kadi feki zaidi ya 10,000 na nasikia mbunge zilimlenga moja kwa moja. Na taarifa zemepelekwa wilaya,mkoa na kitaifa.
Masanilo kweli wewe inakuingia akilini kwamba jimbo la kyela linawanachama wa ccm zaidi ya 20,000 na waliopiga kura za maoni ni 20,000.wewe ni mwalimu sijui hapo kama hakuna combinations za figure.
Hapa kwetu mwanza(Nyakato -Buzuruga) ni salama kabisa.Tumechagua mbunge wetu kwa hali mpya na moyo mmoja.

.Ni msisitizo ndugu yangu usikasirike sana kuona marudio ya yaleyale!!!!
Mwafrika,
Mna kila haki ya kushangilia ushindi wa Mwakyembe. Mie hilo wala sina HASIRA nalo. Nilichoandika ni kitu kingine kabisa tofauti na UCHAGUZI. Ingelikuwa uchaguzi basi ningelikuwa mie ndiyo naleta UTOTO.
Kweny uchaguzi, Washenzi nyie Mwakyembe timu (maneno ya AS hahahaaaaa 🙂 mna kila haki ya kurusha makombora. Niliongea na AS akasema "........*nina zao was***** wale saa hizi wananisubiri nije JF wanitukane, hahahaaha, sijihuko sasa hivi........"
Gia mliotumia kushinda ni kubwa sana. Yaani kura 17,000???? Mhhh Nyie wakali. Naona Kyela inaongoza kwa kuwa na CCM wengi kuzidi hata Dar es Salaam. Nina imani hata wewe moyoni unafahamu kabisa KALUFUNDI Kamechezwa.
Hapa nipo nimejichimbia saafi kabisa nikijiandaa kuanza kampeni kwa ajili ya Dr. Slaa. Akitangaza kipenga basi nitaenda ARDHINI. Uchaguzi haufanyiki JF mkuu. Malecela alisema "ushindi unapatikana ardhini" na siyo angani au kwenye MITANDAO. Hivyo, nikifungiwa kwa kumwaga mboga, haitakuwa hasara sana. Kifungo hicho ntakiomba mwenyewe kabisa. IP BAN FOR LIFE.
Msanilo.Tupo pamoja! Lakini hapana
Ila mkuu yale yale yakujifanya unanijua, mimi tokea lini nikawa mwalimu wa Madras? Ama wataka kusema kura 10,000 zilitumika? Mbona la wakati wa kampeni wapiga kura kuondoka baada ya Dr Mwakyembe kuongea, hulisemi. Play smart what you want to deliver. Haitakaa itokee chini ya Mbingu jina la Mwakyembe kuondolewa. Keep my writings hapa
.
Mbona uko kyela mko wengi sana, sasa kwani msigawe jimbo?.
Let say wana ccm mliopiga kura ni 20,000 na kata ziko 23.
Mwakyembe kwa sababu ni mkubwa,anachukua kata 13 na wanachama wake 11,000 na Mwakalinga kwasababu ni mdogo,yeye anabakiwa na wanachama 9,000 na kata zake 10.Hapo mtakuwa ummepunguza ugomvi huu.Sidhani kama kundi la mwakalinga, litaendelea kuliheshimu kundi la mwakyembe kwa jinsi ninavyoona hapa.
Kama wasomi kama nyie baado mnamshambulia mwakalinga kwa kushindwa kwake,je yule ambaye hakwenda darasani?
Mnafikiri haya makundi yenu mtayamaliza kweli?

Tupo pamoja! Lakini hapana
Ila mkuu yale yale yakujifanya unanijua, mimi tokea lini nikawa mwalimu wa Madras? Ama wataka kusema kura 10,000 zilitumika? Mbona la wakati wa kampeni wapiga kura kuondoka baada ya Dr Mwakyembe kuongea, hulisemi. Play smart what you want to deliver. Haitakaa itokee chini ya Mbingu jina la Mwakyembe kuondolewa. Keep my writings hapa
Tuombe NEC na CCM uchaguzi urudiwe labda kura za Mh GAM zitaongezeka huenda kuna mchezo wa wakubwa ulifanyika in favor of Mwakyembe! Mnataka tuamini hili?
katabazi na sikonge mmeniaminisha usemi unaosema mbuzi yake kamba! yaaani matokeo yametoka bado mnamwandama mwakyembe????
AMESHASHINDA HAIJALISHI NINI KILITOKEA.....takukuru hawakutujuza kama hayo myasemayo yalikuwepo kyela....kwa iyo mimi nahisi nyinyi ni wambeya (tabia si mkoa) wa kiume!
mix with yours
Vipi Umechoka na safari?.
Watu kuondoka baada ya mwakyembe kuhutubia nayo ni rushwa?
Tuombe NEC na CCM uchaguzi urudiwe labda kura za Mh GAM zitaongezeka huenda kuna mchezo wa wakubwa ulifanyika in favor of Mwakyembe! Mnataka tuamini hili?
.Acha wafurahie ushindi huku wakiwa viroho juu wakisubiri NEC na CC iamue. Walau sisi tumeshaanza kufikiria ku-date na akina Nyanso. Wenzetu hata wake zao sasa hivi hawawataki kwa pressure. Hawa ndugu zangu Wanyakyusa bana, kazi kwelikweli. Kama Wahaya walivyo na Baganda, na wao wako karibu sana na Wazambia. Inajalisha unavyoonekana. Mwakalinga na maendeleo yake SUCK.
Yaani kwa sasa hiki ndicho wanachosubiri,
Ningewashauri CHADEMA wasipitishe mtu kwa sasa Kyela, Mwakyembe akitolewa tu NEC aingie CHADEMA kama hana akili nzuri vile
.
Sikonge,
Lakini sio wote ni wanyakyusa.
Kumbuka huyu masanio ni mtu wa huku mwanza.Yeye na mimi ni kabila moja.lile kabila kubwa na wanakula sana ugali.
Hao wengine ni mambo yao tu na sio kwamba ni wanakyela.
nakubaliana nawe , uko sahihi . WAKATI WAKUFURAHI NA KUFURAHI, wakati wakugonga glass na kusubiri NEC ya CCM tuone itaingia kwene mtego wa kina Lowassa na Mafisadi papa nchini.
Mwakyembe kila la heri kuelekea uchaguzi mkuu, ingawa siipendi CCM, lakini utumishi wake kwa umma wa Kyela kama mwakilishi wao Bungeni umenifanya niamini wewe ni tegemeo kubwa kwao, kundi la Mwakalinga liendelee na kulialia , mkisubiri Huruma.
.Umemiss point yangu!
Alikuwa akimaliza kuongea Mwakyembe wapiga kura walikuwa hawapotezi muda kusikiliza wagombea wengine. Maana yake walikuwa hawa na sera na waliishaamua kura ni Mwakyembe. Usipoelewa nitaandika kwa herufi kubwa